lirik lagu jovi'al - pita nawe remix
wananiita komesha wa roho
napita kichokozi mabishoo wanapozi
wanakata sana pake wamedata
mbali nami hawasogei wakishapata
mi ndio fundi wa hizi kosi yeah
ukisleki napita naye
tena kimbogi mbogi
ukisleki napita naye
mi napiga show ndani ya moti (naye)
dombolo bila toti (naye)
kwenye sherehe hunikosi (naye)
tushalewa mkomboti (naye)
mi napiga show ndani ya moti (naye)
dombolo bila toti (naye)
kwenye sherehe hunikosi (naye)
tushalewa mkomboti (naye)
akisleki mi napita nawe
akisleki mi napita nawe
akisleki mi napita nawe
pita pita pita
akisleki mi na pita nawe
pita pita pita
(vicky pon this)
(alexis on the beat)
[ssaru]
ah nimekam na nia, nimеkuja mpaka na bia
so hapa ukiniringia chali yako nakuibia
kwake nitaingia ju mumekufikia
vako za roadtrip ni babe kanyaga gеar
mi niko shy ila kwako nitapiga show
ka unapenda michezo mi napenda brikicho
ka stingo za ukutani mi nitakupa hadi kwa chuom
nitakupa hadi kwa choo, ukininyonga hapa kwa koo
mi nitakutease nitak~mwagia makiss
ka ni mangori tutazifix
ju napenda ukiwa na beef eey
nataka unihis ukiwa na mimi uko na keys
wao wanaona mi ni chizi
wakining’ora nitawadiss eey
hapo unakwama kwanza nitashika kadumba
ah pole pole ndo hivyo tunajenga nyumba
ni kung’ang’ana tu kwa udi na uvumba
wengine wakichezana si tunachezanga rhumba
mi napiga show ndani ya moti (naye)
dombolo bila toti (naye)
kwenye sherehe hunikosi (naye)
tushalewa mkomboti (naye)
mi napiga show ndani ya moti (naye)
dombolo bila toti (naye)
kwenye sherehe hunikosi (naye)
tushalewa mkomboti (naye)
akisleki mi napita nawe
akisleki mi napita nawe
akisleki mi napita nawe
pita pita pita
akisleki mi na pita nawe
pita pita pita
nitakupa dishi tofauti
utaipenda ladha
nitakuchizisha bila buti
sumak~maku ganda
nitakupa dishi tofauti
utaipenda ladha
nitakuchezesha bila buti
sumaku aaah
akisleki mi napita nawe
akisleki mi napita nawe
akisleki mi napita nawe
pita pita pita
akisleki mi na pita nawe
pita pita pita
nitakupa dishi tofauti
utaipenda ladha
nitakuchizisha bila buti
sumak~maku ganda
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu 24kay - break me down
- lirik lagu achim reichel - der erlkönig
- lirik lagu jordan clarke - love me, let me go
- lirik lagu majinblxxdy - busta rhymes
- lirik lagu jethro tull - ithavoll
- lirik lagu audrey sherman - worthless
- lirik lagu kelly nelon thompson - jesus is lord
- lirik lagu xylina spathia - ο ναυαγός (o navagos)
- lirik lagu amelia curran - love's grave
- lirik lagu brandee younger - brand new life