lirik lagu josephs quartzy - promise
je utakua nami wakati wa raha tu
au kwa shida utakua na miguu
will you stay by my side uhuu
promise my girl i wanna know
je utakua nami wakati wa raha tu
au kwa shida utakua na miguu
will you stay by my side uhuu
promise my girl i wanna know
nambie baby girl nambie eeeh nambie promise my girl i wanna know
ah
je utakua nami wakati roho inapain
wakati ambapo sina heat mtaani
wakati ambapo sisikiki redioni
machoni sina nuru naona kiza usoni
wakati ambao sina kitu mf~koni
wakati ambao nina huzuni moyoni
ile time ambayo siheshimiki mtaani
baby wakati ambao wakati ambao
naonekana f~kara siku mbili sijala
wana wanashinda na buti mimi kutwa na ndala
sina hata pa kulala time mf~koni vumbi sina hela ya kula baby
will you handle this? hutoniacha gizani
hata wakikudiss? je utabaki na mimi?
hatima yetu vipi? hutonishusha njiani
so kwa promise amini je utabaki na mimi
will you handle this? hutoniacha gizani
hata wakikudiss? je utabaki na mimi?
hatima yetu vipi? hutonishusha njiani
so kwa promise amini je utabaki na mimi
je utakua nami wakati wa raha tu
au kwa shida utakua na miguu
will you stay by my side uhuu
promise my girl i wanna know
je utakua nami wakati wa raha tu
au kwa shida utakua na miguu
will you stay by my side uhuu
promise my girl i wanna know
nambie baby girl nambie eeeh
nambie promise my girl i wanna know
baby nauliza je utabaki na mimi
so kama freezer kama maji mtungini
tulia na mimi hao wenginе usiwamini
usihesabu miaka moja ama sabini
ningoje mimi tupande pamoja kutoka chini
n~z~ wanadrivе range ya kwetu ni lamborghini
isiwe casual unipende kutoka moyoni
don’t replace hata kama sina madini
ok baby let’s shine in the darkness
if i’m wrong i gonna ask for forgiveness
let me let me call you a princess
come and hold me never leave a distance
will you handle this? hutoniacha gizani
hata wakikudiss? je utabaki na mimi?
hatima yetu vipi? hutonishusha njiani
so kwa promise amini je utabaki na mimi
will you handle this? hutoniacha gizani
hata wakikudiss? je utabaki na mimi?
hatima yetu vipi? hutonishusha njiani
so kwa promise amini je utabaki na mimi
je utakua nami wakati wa raha tu
au kwa shida utakua na miguu
will you stay by my side uhuu
promise my girl i wanna know
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu siti badriah - hilang semua janji
- lirik lagu forsaken age - heavy metal nightmare
- lirik lagu the everlove - here with you
- lirik lagu lucauy - no te olvido*
- lirik lagu sy somebody - idle minds
- lirik lagu abbot (can) - inside
- lirik lagu gustavo freire - te usando
- lirik lagu mc rasmi - (auto)biográfica
- lirik lagu myia thornton - duckin' & leavin'
- lirik lagu letra escarlata - acero