lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu jose chameleone - valu valu

Loading...

it’s been a looong… long, long, long time…
(paddy producer, audio one, come in!)
bila valu valu baby
naomba mi na wewe tuwe
achana valu valu darling… naleli na lelio!
siina valu valu baby
nataka mi na wewe tuwe
achana valu valu darling… je t’aime, je t’aime je t’aime…

1
kutoka tulipo kutana
sija wai kufikiria tuta’achana
lakini, tulivopendana hueleweki unaniumiza sana…
upendo gani na sikuoni baby?
upendo gani hupatikani honey?
upendo gani huniamini baby? valu, valu, valu…
upendo gani na sikuoni baby?
upendo gani hupatikani honey?
upendo gani huniamini baby?
valu, valu, valu, valu, valu!
2
uliemyafuta ulisha pata
anaekupenda sana kweli usiwai kata
mimi na we, twende wote kwote unataka
tukae, tule, tunywe ujue mi nilisha data
wasikudanganye eti sina uwezo
ninao, na sio mchezo
mbona kunipa mawazo
hamua, hamua, hamua baby
wasikudanganye eti sina uwezo
ninao, na sio mchezo
mbona kunipa mawazo
hamua, hamua, hamua… valu, valu, valu!
3
moyo wako ufungue
upendo wa ukweli uje uingie
nacho omba kama niko na wewe
utaratibu pekee baby tuendele
mimi na we, tuwe wote mileli
mimi na we, mileli na mileli you ma baby
mimi na we, nijali nami nitakujali
mimi na we…
mimi na we, tuwe wote mileli
mimi na we, mileli na mileli you ma baby
mimi na we, nijali nami nitakujali…
mimi na we oh, na wewe…


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...