lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu jomonotics - sijali nani ananitaka

Loading...

yoo
most of y’all think that i could love everyone
but i’m like naah
i can only love her
‘coz i’m soul tied to her
yeah

nikishapenda mi’ sijali nani ananitaka
me nakupenda we’ usijali nani ananitaka
nishakupenda usijali nani ananitaka
nampenda na sijali anayenitaka
nikishapenda sijali nani ananitaka
me nakupenda usijali nani ananitaka
nikishapenda mi’ sijali nani
nanii
mi’ nikishapenda moyo w~ngu una, ji, tolea
huwa siangalii kando, we ndio nachagua
na najua dunia ineza sema sana (beib)
lakini we ndio, wa pekee na wa maana(mmh)
nakuwa true ndio unitrust vile inafaa
trust yako hapa kw~ngu salama
u salama na mimi
ntakulinda habibti
nani? nani?
nikishapenda mi’ sijali nani ananitaka
me nakupenda we’ usijali nani ananitaka
nishakupenda usijali nani ananitaka
nampenda na sijali anayenitaka
nikishapenda sijali nani ananitaka
me nakupenda usijali nani ananitaka
nikishapenda mi’ sijali nani
nanii
if i love you i am true
chaguo la moyo ni we tu
alhamdulillah, for you
siskizi hadithi za watu
wanaita mi siskii nakuskiza
vita vya mapenzi umeshinda
1st things 1st
niko in love tu na we’
hao wengine wanakam last
in fact hawana say kwa hii mambo yangu na wewe
na, 2nd thing hun
mi’ niko proud nina wewe
wanaonitaka mimi wajue hakuna chance na kama iko tena ni wewe (mmh)
nikishapenda mi’ sijali nani ananitaka
me nakupenda we’ usijali nani ananitaka
nishakupenda usijali nani ananitaka
nampenda na sijali anayenitaka
nikishapenda sijali nani ananitaka
me nakupenda usijali nani ananitaka
nikishapenda mi’ sijali nani
nanii


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...