lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu jollie - shika simu

Loading...

hali niliyonayo ni siri yangu
hakuna anayefahamu siri yangu
if to the same my darling
nakuomba shika simu
nihurumie say something unitowe wazimu
natamani hata ningekua uhali gani?
umeondoka kw~ngu umechukia una kisirani
natamani hata ningekua uhali gani?
umeondoka kw~ngu umechukia una kisirani
mbali ulipo kaa ukijua unanikatiri raha
ndio sina uwezo wa kukwambia maana haushiki simu
mbona hupokei simu
baby shika simu
simu simu simu
shika simu
simu simu simu
shika simu
simu simu simu
pokea simu


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...