lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu joh makini - xo

Loading...

[intro: joh makini]
unajua vile inakuwa safi, eh?
weusi wamekutana na safi
a~city in the house, na hii (aye)
na hii

[pre~chorus: g~nako & joh makini]
wanakemea mapepo, (pepo), pepo,(pepo)
our love is like xo,(xo), xo,(xo)
true say mami, aye, (ile sana tu)

[verse 1: joh makini]
usihofie mashabiki wanaishia kwa photo, hutokei mbali we ni ubavu w~ngu kushoto, wa moto watuotee mbali (mbali), wa moto watuotee mbali (mbali)
magoto tupokee, darling
si ndoto tuko finali, mitoko tuko proper, b
upepo sio coco, [?]
vile ndani patamu, nje mi sitokei, baby google my gogo, ‘right cl!ck, chini kidogo, nenda juu kwa fasi, kata kidogo, nenda kushoto
ukilia, na f~gilia, endelea kulia, oh sh~t
rudi kulia, shamba langu na palilia, na pa kikucha na panda pia, namwagilia, yeah
yeah

[hook: joh makini & g~nako]
put somebody
tusimame, tutembee dede, kisha tupae, baby, (baby), baby, (baby)
you know i don’t need no body, (no body)
n0body, aye
[chorus: g~nako & joh makini]
wanakemea mapеpo, pepo
our love is like xo, xo
wanakеmea mapepo, (pepo), pepo,(pepo)
our love is like xo,(xo), xo,(xo)
ile sana tu

[verse 2: joh makini]
yeah
safi na data na mental, hisia ni zote kwa mtoto
bwana nakupa heko (heko), ka binti umenipea ni special
nahitaji utulivu kujilia langu apple, wanakemea mapepo, oh
mpenzi unajua nini, wana majibu machizi
we no body biz, we n0body business
kunoga ni hivi, ni kama una kismat
na dili sikuhizi nyingi niko na mitikasi, plus jumlisha
mi nawe ndio maana ya maisha, pumzisha
mawazo kifuani kwa m.r., kistaarabu
nacheza karate ya mapenzi, sempai
maneno yao sio mikopo, hawatudai, na macho yao sioni kitu, don’t feel shy
vidole vyao sio risasi, ‘they shoot, aye, n0body die, huh
ni kibinda nkoi, ni kibinda nkoi
we si huniachaga hoi, watanikuta moi (moi?)
oh, yeah

[hook: joh makini & g~nako]
put somebody
tusimame, tutembee dede, kisha tupae, baby (baby), baby (baby)
you know i don’t need no body (no body)
n0body, aye
[chorus: g~nako & joh makini]
wanakemea mapepo, pepo
our love is like xo, xo
wanakemea mapepo, (pepo), pepo,(pepo)
our love is like xo,(xo), xo,(xo)
ile sana tu

[instrumental outro]


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...