lirik lagu joel lwaga - sitabaki kama nilivyo
no time no problem
download and open an sc mobile digital account
open an account in less than fifteen minutes
and get it all done, be unstoppable with standard chartered
maisha haya, ninapita tu
hali hii ya sasa ni kwa muda tu
ushindi w~ngu, u karibu nami
mtetezi w~ngu, yu hai
sitabaki kama nilivyo
sitabaki kama nilivyo
sitabaki kama nilivyo
sitabaki kama nilivyo
silalamiki, wala sikufuru
najua ni darasa napitishwa
imani yangu ipo kwenye kipimo
najua nitapita tu
sitamani ya wengine wala sijilinganishi
najua wakati w~ngu upo
siogopeswi na mapito ninayoyapitia
namwamini yule aliyeruhusu nipite
sitabaki kama nilivyo (sitabaki kama nilivyo)
sitabaki kama nilivyo (sitabaki kama nilivyo)
sitabaki kama nilivyo (kweli sitabaki kama)
sitabaki kama nilivyo (hali hii ni ya muda)
sitabaki kama nilivyo (hali hii hapa napita tu)
(kweli ninavuka)
sitabaki kama nilivyo (kuna mahali ninakwnda)
(eeeh sitabaki kama…)
sitabaki kama nilivyo (sitabaki kama nilivyo)
sitabaki kama nilivyo (nilivyo)
mtetezi w~ngu yu hai ((yu hai)
yu hai (yu hai)
yu hai (yu hai)
eeeh mtetezi w~ngu yu hai ((yu hai)
yu hai (yu hai)
yu hai (yu hai)
hey mtetezi w~ngu yu hai ((yu hai)
anaishi (yu hai)
yu hai (yu hai)
sitabaki kama nilivyo (nilivyo)
mtetezi w~ngu yu hai ((yu hai)
yu hai (yu hai)
yu hai (yu hai)
hey mtetezi wako yu hai (yu hai)
yu hai ((yu hai)
yu hai (yu hai)
kweli mtetezi w~ngu yu hai (yu hai)
yu hai (yu hai)
yu hai (yu hai)
sitabaki kama nilivyo (nilivyo)
sitabaki kama nilivyo (kweli nitashinda tu)
sitabaki kama nilivyo (siumii na hali hii)
(nafurahishwa na ile ijayo)
sitabaki kama nilivyo (hey kama, sitabaki hivi)
sitabaki kama nilivyo (kweli sitabaki kama)
sitabaki kama nilivyo (giza huwa nene alfajiri)
sitabaki kama nilivyo (asubuhi yangu yang’aa)
sitabaki kama nilivyo (kweli nitainuka tu)
sitabaki kama nilivyo (bwana yuko nami nilivyo)
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu mystik (swe) - mystik
- lirik lagu black tiger - sorry
- lirik lagu dodge & fuski feat. the arcturians & nasko - written
- lirik lagu пикник (piknikband) - еще один дождь (one more rain)
- lirik lagu kacper hta x fonos - tommy gun
- lirik lagu psych6 - só lamentar
- lirik lagu twist music - bad taste (skit)
- lirik lagu the pineapple thief - our mire (alt.)
- lirik lagu babymama (russia) - кто тут мама? (who is mom here?)
- lirik lagu serpentera - kagami