lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu jerebet - usiniulize

Loading...

tu ru ru ru ru tu ru ru tu
haa
tu ru ru ru ru tu ru ru tu
haa

jerebet (verse 1)

tafadhali nisongee
i, need some sp~ce, i need some room
hii, time ni yangu na mungu
ni~na moto ndani yangu mi
(aha) okay the story is i met someone
(aah) said her name was grace, she came from god
(aah) she wasn’t alone, was with a helper
(aah) would never leave my side

(pre~chorus)
we, had to, work it out
and, guess what? every time
they came, through!
oh

(chorus)
ukiniona nikicheza
ukiniona nikiruka
ukiniona nikiinua mikono yangu kwake baba
usiniulize
machozi yaki tiri~tiririka
miguu yaki tingi~tingika
ukiniona nikipiga magoti yangu kwake baba
usiniulize

usiniulize
usiniulize
usiniulize
usiniulize
usiniulize, (don’t ask me , no)
usiniulize, (no! oh)
usiniulize
usiniulize!

spikes (verse 2);

(yo, mwana)

don’t you know niko grateful? (grateful)
i’ve seen his grace ‘uku kwetu (kwetu)
forever serving bila excuse (bila excuuse)
he makes me glow in every boardroom (boardroom)
um
love is great mi ‘ubaki nimesema wazi!
papa godo ndio rafiki wa dhati (kwani)
give him your life, and, let him touch it
i’m a sniper his word is my target (pa, pa, pa!)
ka una swali niko ready kukujibu (ah, ha)
nikiwa msick si ni ye ‘unitibu (drip!)
bond tuko nayo hamwezi kui’aribu (no way!)
naserve almighty mpaka nirudi kwa jivu

(aah) blessings flowing hajawahi nizimia tap (tap tap tap)
(aah) hauna idea n’ mara ngapi ameshow up (oh)
(aah) kuna matime mi ‘uanga narelapse
(aah) open arms ananijali no cap!

(pre~chorus)
we, had to, work it out
and, guess what? everytime
they came, through!
ah
chorus
ukiniona nikicheza
ukiniona nikiruka
ukiniona nikiinua mikono yangu kwake baba
usiniulize
machozi yaki tiri~tiririka
miguu yaki tingi~tingika
ukiniona nikipiga magoti yangu kwake baba
usiniulize

usiniulize, (usiniulize ah)
usiniulize, (usiniulize bruh)
usiniulize, (ah, usini)
usiniulize, (usini, usini, usini)
usiniulize, (usiniulize ah)
usiniulize, (usiniulize bruh)
usiniulize, (usini, usini, usini)
usiniulize
(yo!)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...