lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu jayna music - they cappin

Loading...

verse: [jayna]

moko moko pasi soka
mziki soka sijachoka
iba vocal baki lockup
mi ndo mende kwenye moka
one time for man~ggar (n~ggar)
akili mingi kama zigglar
tunamake wanaiga
hakuna kitu wao mambwiga
askari kwenye border
the pharmacist weka order
ishikilie mr. hold on
hatutoshi kwenye folders
toka chini niko juu (levels!)
nawashoot hao ma_new (devils!)
master wao i’mma beat shivo!
verse zao so cursed evil!
i’m after money nisake mingi mingi, itakua ng’ori
wapange kw~ngu mwenye nyumba, niwape worry
nakinukisha jukwaani, nawadatisha bila dancers
haivai hirizi wala shanga, mganga mchawi pesa
wanafollow mk~mbo, content zao utumbo
na minaso ni ulimbo, huelewi soma symbol
super star sina wimbo, mi ni shule bila nembo
weka kule mapambo
sijachinja matango
kwenye vita kama rambo
chorus: [vibs]
anytime we go blow up
look at this niqqas, they cappin ( they cappin)
anytime we go blow up
look at this niqqas, they cappin ( they cappin, they trippin’)
look at this niqqas,they cappin ( they trippin’, they loosin’)
look at this niqqas, they cappin ( they cappin)
look at this niqqas, they cappin ( they cappin)
look at this niqqas, they cappin

verse: [bigfred cheche]
cheki vyenye tunagonga
cheki vyenye kunyorosha
wahezi baki kutoroka
chuki vyenye tunatisha
nyuma baki na motisha
chanda chema tunavisha
enda nyumba bila visa
ujumbe iko kufikisha
bila pesa kuitisha
bado hamuwezi kututisha
chini tunawalambisha
tuko ndani bila bisha
sauti ndani bado giza
budda unachoma picha eee!!
jayna ebu wewe washow
watadhani tuko show
~254 , ~255
that’s how we flow

verse: [jayna]
si ndo walidhani nitakwama, no!!
giza nene nitazama, no!!
tunakata viza hama, yes!!
kete changa tunapanda
low_key that’s my gang!!
all time tunabang_bang
gang zao zinahang_hang
og kama 4g, money euro kwenye pochi
kipochi jisachi manoti
jisachi ukikosa ndo basi
chugga natoka kwa fasi
magang imewasha manyasi
napita nanyoosha ka pasi
paf paf mwendo ni pasi pasi
hapa ni kazi kazi sina wasi wasi
kaskazini hii ni kazi kazini
tunawasha zima na kuacha kabisa!
ndo kwanza ni misa!
ya kwanza ya pili haijatoka
ma_n~ggar wanasiz wanamoka!

chorus: [vibs]
anytime we go blow up
look at this niqqas, they cappin ( they cappin)
anytime we go blow up
look at this niqqas, they cappin ( they cappin, they trippin’)
look at this niqqas,they cappin ( they trippin’, they loosin’)
look at this niqqas, they cappin ( they cappin)
look at this niqqas, they cappin ( they cappin)
look at this niqqas, they cappin


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...