lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu jay moe - pesa ya madafu

Loading...

chorus:
pesa ya madafu/
pesa ya madafu/
me and my n~ggas we hustling
just to get pesa ya madafu/
pesa ya madafu/
pesa ya madafu/
hata shs mia inapigwa hatuiachi ndo zetu si pesa ya madafu/

verse 1:
pesa ya madafu/
sio mpaka hadi hii pesa iwe ndefu/
sio rofa wa kungoja eti mpaka nipate kitita cha coaster au bus/
maisha ni tough/
we sema tu maisha ni tough/
na hakika bakhressa ana pesa hadi watoto wanasema eti pesa imewakifu/
so me n my ninjas we hustle/
just to get cheddar ya k~manga na castles/
we fighting disorderly..yeah we tussle/
hadi referee anatupigia mawhistle/
my n~ggas im trana get paid/
nafanya ili baba awе na food on the table evеryday/
tupige deal tuwe vizuri my guys/
hizi shillings..me naita pesa ya madafu…
ni pesa tu ya maji ya kunywa/
we stuck in this life, cos pesa ya mtaji hatuna/
wakati shefa anaonga vogue waschana/
street wanasuffer hela ya kisamvu na nguna/
ni noma..
chorus:
pesa ya madafu/
pesa ya madafu/
me and my n~ggas we hustling
just to get pesa ya madafu/
pesa ya madafu/
pesa ya madafu/
hata shs mia inapigwa hatuiachi ndo zetu si pesa ya madafu/

verse 2:
pesa ya madafu/
no matter iwe safi ama chafu/
naichanga ili iweze kuwa ndefu/
ili niweze kujenga ghorofa hata 3/
me nnavyotafuta we uliza viatu/
leo nzenga kesho nakimbiza meatu/
…me mtu wa machaka pori kama chatu/
passport imejaa mavisa ya european/
im back..lemmi get this rap money/
i was just gone for a minute, i aint runnin/
nilikuwa natake care of my biness…allah my witness/
nipate chapaa nyingine/
pesa ya madafu..
ya kuweza pata chaser au mark x/
bado kutushkika wakax/
im sick of the facts..
that me my ninjas do hustlin just to get pesa ya madafu/
i dont give a f..iwe noti au sarafu/
me nnavyoenda race, dogo utapasuka mapafu/
nashesha..sio nipate pesa ya israfu/
mi nataka niwe tu financially enough/
ariff..

chorus:
pesa ya madafu/
pesa ya madafu/
me and my n~ggas we hustling
just to get pesa ya madafu/
pesa ya madafu/
pesa ya madafu/
hata shs mia inapigwa hatuiachi ndo zetu si pesa ya madafu/


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...