
lirik lagu jay melody - tila lila
[intro]
jay once again
olah
[verse 1 : jay melody]
mi nshakwambia mimi nshakwambia
siwezi mambo kukurupukia
una plan za watoto na ndoa here hrre
kama hujalewa nikuongezee beer
kwenye haya mambo wenzako wanaumia
vilio au haujasikia
tumeonana siku moja unaleta hisia
hayo mambo siyapendi
[pre chorus : jay melody]
je utafahamu vipi ka napenda vanilla
utafahamu vipi ka napenda mpira
na je utafahamu vipi ka napenda kuzira
ama kulewa tila lila
je utafahamu vipi ka napenda vanilla
utafahamu vipi ka napenda mpira
na je utafahamu vipi ka napenda kuzira
ama kulewa tila lila
[chorus : jay melody]
jamani tilalila, tilalila
tilalila, tilalila
tilalila, tilalila
au kulewa tilalila
jamani tilalila, tilalila
tilalila, tilalila
tilalila, tilalila
au kulewa tilalila
once again
[bridge : jay melody]
kwani utoa lini bado niponipo kwanza
unasema bado nipo nipo sana
umeniona njiwa unanitega kwa mtama
[verse 2 : mwanafa]
kama unaniacha, niache
niache nifanye mambo mengine
nipe nafasi nipende viumbe wengine
unaiona potеntial na unaidai mpaka mwisho
unaing’ang’ania line leo leo hungoji kеsho
nikisema ntakuoa kwa sasa nakudanganya
tunza moyo wako atatokea tu kijana
unaniita tu mpenzi na mapenzi yenyewe hakuna
jichunge we mtoto zitafika tu hizo zama
vilio ni vingi na huja sababu ya haraka
pupa zinaponza watu sio kuku sio paka
kama nitafika mtaniona mapema
sina kona kona nikitaka ntasema
una wahi wapi acha kuikimbiza shari, simidat
na uambiwe mara ngapi hii habari
kabla sijaondoka nikutakie kila la kheri
sichezi ngumu kuipata nisipatikane kweli
[pre chorus : jay melody]
je utafahamu vipi ka napenda vanilla
utafahamu vipi ka napenda mpira
na je utafahamu vipi ka napenda kuzira
ama kulewa tila lila
je utafahamu vipi ka napenda vanilla
utafahamu vipi ka napenda mpira
na je utafahamu vipi ka napenda kuzira
ama kulewa tila lila
[chorus : jay melody]
jamani tilalila, tilalila
tilalila, tilalila
tilalila, tilalila
au kulewa tilalila
jamani tilalila, tilalila
tilalila, tilalila
tilalila, tilalila
au kulewa tilalila
once again
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu dan sanders - 'we'
- lirik lagu suicideimar - i dont want this to be my final song
- lirik lagu a-this - кранковый биток (crank beat)*
- lirik lagu marta palombo - laser tag
- lirik lagu n3xther - the choice you made alone
- lirik lagu mr black el presidente & elenco de champeta: el ritmo de la tierra - la bomba
- lirik lagu bastardane - grand slam
- lirik lagu 2birds 1stone - horchata
- lirik lagu behemoth - avgvr (the dread vvltvre)
- lirik lagu club eat - wow