lirik lagu jay melody - superstar
[intro]
jini x66
olowo
jay once again
oh, ooh, oh
[verse 1]
sikuhizi sipo ka zamani
makelele, fujo, mitaani
mwendo wa kucheza na money
who are you? [?]
wakiniona “hi”, burudani
picha mbili, tatu na ma fans, yeah
asionipenda ni nani?
ka hataki asusie hewani
[pre~chorus]
watu shangwe, watu shangwe
na vigele, gele
watu shangwe, watu shangwe
na vigele, gele
watu shangwe, watu shangwe
na vigele, gele
watu shangwe, watu shangwe
na vigele, gele
[chorus]
superstar, ah
they call me superstar, ah
niki, ‘pendeza, ah
watu wanapata raha
ah, basi nipishe, superstar, ah
they call me superstar, ah
niki, ’pendeza, ah
watu wanapata raha
basi nipishe
[verse 2]
marafiki ni wengi sana
na ma babe ni wengi sana
na kolabo ni nyingi sana
very soon, nitapiga na burna
mbona sasa wameacha mwanya
kila kona nnavyo wasakanya
nasikika usiku, mchana
napendwa mpaka ngumu kubana
oloh!
[bridge]
sir god, asante
kwa hichi chako kikombe
(kikombe)
la si hivyo ingekuwa kinyonge
oloh!
sir god, asante
kwa hichi chako kikombe
(kikombe)
la si hivyo ingekuwa kinyonge
oloh!
[pre~chorus]
watu shangwe, watu shangwe
na vigele, gele
watu shangwe, watu shangwe
na vigele, gele
watu shangwe, watu shangwe
na vigele, gele
watu shangwe, watu shangwe
na vigele, gele
[chorus]
superstar, ah
they call me superstar, ah
niki, ‘pendeza, ah
watu wanapata raha
ah, basi nipishe, superstar, ah
they call me superstar, ah
niki, ‘pendeza, ah
watu wanapata raha
basi nipishe
aih, sikuhizi nani?, sikuhizi nani?
(once again)
naitwa nani, naitwa nani?
(once again)
oya, sikuhizi nani?, sikuhizi nani?
(once again)
naitwa nani, naitwa nani?
(once again)
(instrumentals)
ka mix lizer
music
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu llb - she's plenty
- lirik lagu euphonik - plus noir encore
- lirik lagu have a nice life - telephony (türkçe çeviri)
- lirik lagu rosskyvis! - opiniões anuladas
- lirik lagu yng naz & tombochio - el ruedo
- lirik lagu the keeng - my dear girlfriend
- lirik lagu aasmund nordstoga & gunnhild sundli - sæle jolekveld
- lirik lagu underhex - притворяться (pretend)
- lirik lagu sebastian schub - sing like madonna
- lirik lagu la fine equipe - tourment d' amour