
lirik lagu jay melody - sugar remix
[verse 1 : jay melody]
sweet like a kuku, tamu sana
sweet like a soup, i’m going to die
kwenye dimbwi sijiwezi, nimezama
mi corazon, my baby banana
penzi hulifichi kama ni sindano, itachoma
mi siambiliki hata wakaniroge kigoma
[pre~chorus : jay melody]
ukiugusa mwili w~ngu, nash~tuka moyo paah
mpenzi w~ngu nishike nisije nikapaa
kama mvua na mawingu kama mwezi na anga
sina jambo kwa jinsi umenikamata
[chorus : jay melody]
tena usinipege kiduchu
sugar sugar sugar
my life is nothing without you
sugar sugar sugar
tena usinipege kiduchu
sugar sugar sugar
my life is nothing without you
sugar sugar sugar
mmmh mmh
[verse 2 : marioo]
nachagua mwenyewe, nitakula ndo nile
ama nile ndo ntakula
najisevia manyama manyama, utamu utamu
ah, naona raha mie unavyonipeleka puta
mako tinda mako stamina, yaani show show
mmmh, naona raha mie unavyoishusha kwenye tuta mama
mako tinda mako stamina, yaani soo soo
ah, umeniweza, niue kanizike
aaah, kanizike, umeniweza
[pre chorus : marioo]
ukiugusa mwili w~ngu, nash~tuka moyo paah
baby w~ngu, nishike nisijе nikapaa
[chorus : marioo]
tena usinipege kiduchu
sugar sugar sugar
my lifе is nothing without you
sugar sugar sugar
tena usinipege kiduchu
sugar sugar sugar
my life is nothing without you
sugar sugar sugar
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu ch2rms - abluvion
- lirik lagu song tailor collective - jack's animal birthday song
- lirik lagu defy def & madamprime - wolfside
- lirik lagu roger quilter - three poor mariners
- lirik lagu shravster - pj the dj
- lirik lagu lil uzi vert - big big bucks
- lirik lagu disarstar - saint-tropez
- lirik lagu teccmeta - taste
- lirik lagu леонид farshain - небо
- lirik lagu adolfo celdrán - contadme un sueño