lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu jay melody - sugar

Loading...

[verse 1]
sweet like a kuku, tamu sana
sweet like a soup, i’m going to die
kwenye dimbwi sijiwezi, nimezama
mi corazon, my baby banana
penzi hulifichi kama ni sindano, itachoma
mi siambiliki hata wakaniroge kigoma

[pre~chorus]
ukiugusa mwili w~ngu, nash~tuka moyo paah
mpenzi w~ngu nishike nisije nikapaa
kama mvua na mawingu kama mwezi na anga
sina jambo kwa jinsi umenikamata

[chorus]
tena usinipege kiduchu
sugar sugar sugar
my life is nothing without you
sugar sugar sugar
tena usinipege kiduchu
sugar sugar sugar
my life is nothing without you
sugar sugar sugar
mmmh mmh

[verse 2]
nikoleze my darling eh
na tukichoka tuka lale
wanasema hatari eh
lakini me nimekubali eh
kileleni ndo pale
basi tufike sare sare
shika ndizi mshare
nikuvue kama kambale
vile hawapumui, wakerekwa maadui
hao wanafiki, watajua hawajui
[pre~chorus]
ukiugusa mwili w~ngu, nash~tuka moyo paah
mpenzi w~ngu nishike nisije nikapaa
kama mvua na mawingu kama mwezi na anga
sina jambo kwa jinsi umenikamata

[chorus]
tena usinipege kiduchu
sugar sugar sugar
my life is nothing without you
sugar sugar sugar
tena usinipege kiduchu
sugar sugar sugar
my life is nothing without you
sugar sugar sugar
mmmh mmh


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...