lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu jay melody - siyawezi

Loading...

[intro]
[?]
once again

[verse 1]
nikiulizwa, nakupenda
najibu, “i love you, nyang’anyang’a”
na sa hilo ndio tatizo
cheki, ‘kitu unacho nifanya
nnavyo vitaka my boo nipe vyote
penzi maji nilioge
au kama linielee kwenye tope
nipeleke kaling’ombe

[pre~chorus]
mi napendwa kudekezwa, sipendi kuumia, oh
na hata nikituma meseji, naomba kujibiwa, oh
hiyo michezo unayo cheza, mwenzako nitalia, oh
na hata nikitaka mapenzi, naomba kupatiwa, oh

[chorus]
siyawezi (ah)
hayo mapenzi, siyawezi
najua uko busy kweli
ila mwenzako ndio siwezi
ai, baby
siyawezi (ah)
hayo mapenzi, siyawezi
najua uko busy kweli
ila mwenzako ndio siwezi
ai, baby
[verse 2]
we jua mapenzi haya yananiendesha
hizi fujo, usumbufu, wе ndio unaye nipelekеsha
kwani naapa siwezi kuacha
kama kuilamba, kama kuing’ata
kama kwenye makochi au kwenye kitanda
venye unanipa ndio unanibamba, ah…

[pre~chorus]
mi napendwa kudekezwa, sipendi kuumia, oh
na hata nikituma meseji, naomba kujibiwa, oh
hiyo michezo unayo cheza, mwenzako nitalia, oh
na hata nikitaka mapenzi, naomba kupatiwa, oh

[chorus]
siyawezi (ah)
hayo mapenzi, siyawezi
najua uko busy kweli
ila mwenzako ndio siwezi
ai, baby
siyawezi (ah)
hayo mapenzi, siyawezi
najua uko busy kweli
ila mwenzako ndio siwezi
ai, baby
[chorus repeat]
siyawezi
hayo mapenzi, siyawezi
najua uko busy kweli
ila mwenzako ndio siwezi
ai, baby
siyawezi (ah)
hayo mapenzi, siyawezi
najua uko busy kweli
ila mwenzako ndio siwezi
ai, baby


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...