lirik lagu jay melody - niwe
[intro]
zshea
mmh
zshea
s2kiz baby
uuulah
anaitwaje uyo jay?
jay once again
[verse 1]
batani kunawaka batani
kama hauna kinyongo
mshtue jirani
kama una chuki
nenda sh~taki mahakamani
hizi lugha mbovu, naomba tafuta mkalimani
[chorus]
na hivi ndivyo nilivyo, mimi niache niwe
na hivi ndivyo nilivyo, mimi niache niwe
usinigasi we, niache niwe
usinigasi we, niache niwe
mitungi iyo (halafu mikas iyo)
piga simu iyo (wewe uko wapi iyo)
mitungi iyo (halafu mikas iyo)
piga simu iyo (wewe uko wapi iyo)
na hivi ndivyo nilivyo, mimi niache niwe
na hivi ndivyo nilivyo, mimi niache niwe
usinigasi we, niache niwe
usinigasi we, niache niwe
[verse 2]
mara ngapi nilikwambia
usimdharau mtu kwenye dunia
kiko wapi nilikwambia
humuoni ali b
tunakunywa nae bia, mama
[chorus]
na hivi ndivyo nilivyo, mimi niache niwe
na hivi ndivyo nilivyo, mimi niache niwe
usinigasi we, niache niwe
usinigasi we, niache niwе
mitungi iyo (halafu mikas iyo)
piga simu iyo (wewe uko wapi iyo)
mitungi iyo (halafu mikas iyo)
piga simu iyo (wewе uko wapi iyo)
na hivi ndivyo nilivyo, mimi niache niwe
na hivi ndivyo nilivyo, mimi niache niwe
usinigasi we, niache niwe
usinigasi we, niache niwe
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu alm (lv) & k!d (us) - bored..
- lirik lagu gullyspit - run piggy
- lirik lagu guydelafonsdal & oreall - le plafond
- lirik lagu nicholas zakaria - ruregerero
- lirik lagu terminaator - ballaad jimmyst
- lirik lagu yayu - ganondorf
- lirik lagu everfound - god of the impossible - alternate version
- lirik lagu the thing - beige bouquet
- lirik lagu gyubin (규빈) - 보다 (born to love you)
- lirik lagu hase - daleko