lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu jay melody - nazama

Loading...

[intro]
mmmh once again
mmmh naitwa once again
onaah nananaaah

[verse 1]
mapenzi ya usiku
sio kama ya mchana
usiku kigiza flani
mchana tunaonana
halafu kipaji anhaa
amempa maulana
ananionesha michezo ambayo sijawahi ona

[pre chorus]
kwisha kabisa
mwenzenu ananimaliza
huu ufundi kapatia wapi
mbona anapitiliza
kwisha kabisa
jamani anamiujiza
penzi kalichomea ubani
utamu tu ananipa

[chorus]
mwenzenu nazama
mi sijui nifanyeje
sijui mimi
sijui nimekuaje
sijui mimi
nimekua kama bwegee
mwenzenu
naenjoy mwenyewe olaah
[verse 2]
hivi kwanini ukiitwa honey
unasikia raha mpaka ndani oh
hadi unatamani uiskie milele maishani
namaanisha sio utani
huu upendo umenipa amani
wengine wanafika mbali
eti mapenzi majani

[pre chorus]
kwisha kabisa
mwenzenu ananimaliza
huu ufundi kapatia wapi
mbona anapitiliza
kwisha kabisa
jamani anamiujiza
penzi kalichomea ubani
utamu tu ananipa

[chorus]
mwenzenu nazama
mi sijui nifanyeje
sijui mimi
sijui nimekuaje
sijui mimi
nimekua kama bwegee
mwenzenu
naenjoy mwenyewe olaah


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...