
lirik lagu jay melody - mara ya kwanza
[intro]
come on, let’s go jay
aii
[verse 1]
mara ya kwanza
mara ya kwanza kuingia
nikawa ka nasikilizia
uku natafuta njia
nisije nikaumia, ok
[chorus]
ndo mara ya kwanza
ndo mara ya kwanza
ndo mara ya kwanza
ndo mara ya kwanza
[verse 2]
mara ya kwanza kutumia
nilizunguka dunia
nikamuuliza baharia
mbona sa nasinzia, ok
[chorus]
ndo mara ya kwanza
ndo mara ya kwanza
ndo mara ya kwanza
ndo mara ya kwanza
[verse 3]
alinambia kwamba hili swala letu halina uzito
anakuaga sawa hata kama mimi nikiwa sipo
mambo ya kutojua ndo nikachukulia tu simple
ameshapata mpenzi yule tulikutana nae disco
mara ya kwanza kuumia
siku iyo nililia
mambo ya kuhusu hisia
sitaki kuyasikia, ok
[chorus]
ndo mara ya kwanza
ndo mara ya kwanza
ndo mara ya kwanza
ndo mara ya kwanza
[verse 4]
mara ya kwanza niliambiwa
acha umalaya, tulia
mambo yaku fakamia fakamia
ah k~mbe familia, ok
[chorus]
ndo mara ya kwanza
ndo mara ya kwanza
ndo mara ya kwanza
ndo mara ya kwanza
[verse 5]
kuna watu wanapenda sifa
wakipanda mn~z~
we n~z~ mbili tatu, nne tano sita
mkononi kashikilia picha
anaufanya uhuni
we n~z~ mbili tatu, nne tano sita
mara ya kwanza, my dear
uchungu utasikia
pale ikichanganyia
ndo utamu unaingia, ok
[chorus]
ndo mara ya kwanza
ndo mara ya kwanza
ndo mara ya kwanza
ndo mara ya kwanza
[verse 6]
mara ya kwanza ukipewa
kwanza usilambe, tulia
pipi ya k~megewa
yenye utamu wa maziwa
ok, okay
[chorus]
ndo mara ya kwanza, ai wee
ndo mara ya kwanza, oyeh
ndo mara ya kwanza, ai wee
ndo mara ya kwanza
[outro]
come on, let’s go jay
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu klg officiel - écrire pour exister
- lirik lagu indent - sign
- lirik lagu pavlov's dog - paris
- lirik lagu parhum - outro
- lirik lagu lower plenty - nullarbor
- lirik lagu yeko - afd (handyvideo)
- lirik lagu idrane - sur paname
- lirik lagu calispookyboo - psycho
- lirik lagu miso extra - space junk
- lirik lagu yuki asami-san - call me back