lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu jay melody - jirani

Loading...

[intro]
ooh naaah nanaaah
eti jay once again

[verse 1]
akipita kwa nje mi nipo kwa dirisha
namchungulia oh mpaka anafika
ila sasa hizi habari nilizopata ndo zinanisikitisha
et naambiwa ame hama kabisa
ai wee

[pre chorus]
n~z~ sio n~z~, tui sio tui
nitamwona wapi tena hata sijui
uuuuh, n~z~ sio n~z~
oooh, tui sio tui
nitampata wapi tena hata sijui

[chorus]
mbele ya macho yangu ametoweka
simuoni tena jirani
ooh, simuoni tena jirani
shi, simuoni tena jirani
simuoni tena jirani
simuoni tena jirani
[verse 2]
nimemmiss kweli mpaka nataka kulia
nikik~mbuka asubuhi salam zake akini salimia
hapa nilipo sielewi
bora ningeshamwambia
aondoke akijua ka nampenda tena kwa hisia

[hook]
jirani oh uko wapi aah
aah jirani oh uko wapi aah eeh

[pre chorus]
n~z~ sio n~z~, tui sio tui
nitamwona wapi tena hata sijui
uuuuh, n~z~ sio n~z~
oooh, tui sio tui
nitampata wapi tena hata sijui

[chorus]
mbele ya macho yangu ametoweka
simuoni tena jirani
ooh, simuoni tena jirani
shi, simuoni tena jirani
simuoni tena jirani
simuoni tena jirani


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...