lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu jay melody - i don't know

Loading...

[intro]
oh oolalaa
oh oolalaa
jay once again

[verse 1]
mimi nataka kitu kidogo, nikwambie
nimekupa moyo basi nawe wako nigaiye
burudani nifuraha wewe kua na mie
ukitaka joto songa baby nikuk~mbatie

[chorus]
kama kukutenda sijui my love
baby i don’t know
kala kakuacha sijui my love
baby i don’t know
i don’t know
i don’t know
baby i don’t know
i don’t know
i don’t know
baby i don’t know

[verse 2]
onanaaaah oooh
ayah ayaaa
hatupendani wenyewe
tunapendwa na umati
watazunguka kote
kama sisi hawapati
baby unavyonipa
nikachori kalimati
wambea watachoka
kwa kufanya hisabati
[bridge]
nataka ujue (we wakw~ngu mie)
ringa jishauwe (we wakw~ngu mie)
usijibanebane (we wakw~ngu mie)
tamba wakujue (we wakw~ngu mie)

[chorus]
kama kukutenda sijui my love
jamani baby i don’t know
kama kukutenda sijui my love
mwenzako baby i don’t know
i don’t know
i don’t know
baby i don’t know
i don’t know
i don’t know
baby i don’t know

[outro]
nampenda mpenda nani
mtoto mmoja nani
mweupe kidogo nani
mweusi kidogo nani
eti nampenda mpenda nani
mtoto mmoja nani
mweupe kidogo nani
mweusi kidogo nani


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...