lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu jay melody - hujaona bado

Loading...

[intro]
ooh naah nanaah
oooh
eti jay once again
are you okay?

[verse 1]
si unaona unashangaa
na hapo sina nyumba wala sina motor car
ooh ooh
napendeza na kung’aa
nanukia manukato utapigwa na butwaa
eeh eeh

[pre chorus]
naridhika kidogo nikipatacho
napiga kazi si unajua tumeumbwa kula kwa jasho
ooh ooh
asa we endelea kula kwa macho
nakuniita boss, hicho ndo kitu kifuatacho

[chorus]
mbona bado bado hujaona bado
ooooh bado na tena hujaona bado
mbona bado bado aah hujaona bado
bado na tena hujaona bado
mbona bado
[verse 2]
we chicken pizza, burger, makange, pilau
ugali mboga saba bila kusahau
huwa napenda kufanya ibada kuomba walau
nikijaze kibaba name nipande dau
utaniona kama na masifa
muda wote cheko amani linamw~ngikaa
hebu tazama natosheka
kuna muda sina hata mia hata mia ila napika

[pre chorus]
naridhika kidogo nikipatacho
napiga kazi si unajua tumeumbwa kula kwa jasho
ooh ooh
asa we endelea kula kwa macho
nakuniita boss, hicho ndo kitu kifuatacho

[chorus]
mbona bado bado hujaona bado
oya wee bado na tena hujaona bado
mbona bado bado aah hujaona bado
bado na tena hujaona bado
mbona bado

[outro]
anhaan hujaona bado
mmmhh anhaaa hujaona bado shi


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...