lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu jay melody - forever

Loading...

[intro]
jini x66
jay once again

[verse 1]
sweetie, umenikata mbawa sipai
i never seen before
waniache nijidai, mmm
sweetie, nime~cease, niko high
penzi lako tamu hivyo
linanilewesha ka divai

[verse 2]
wananisimanga na kula najilamba
eti ni ushamba, ‘sio mapenzi
ah, kama penzi
lingekuwa chungwa
ningelimenya kama chenza
walisema, ‘hayawi, yamekuwa
mimi na wewe
ndio forever
aya

[chorus]
forever
forever
forever
ndio forever
forever
forever
forever
ndio forevеr
[instrumentals]

[verse 3]
nimegundua, mapenzi ua
yana raha yake tu, ‘ukiyajua
akibandika, na kibandua
chakula chakе ‘tu, nakipakua
ndio nimeshazama
ndio nimeshakwama
moyo w~ngu na wake
ngumu kuigawanya

[bridge]
ndio nimeshazama
ndio nimeshakwama
hata unitake, ‘huwezi kunipata
mh

[pre~chorus]
kama penzi
lingekuwa chungwa
ningelimenya kama chenza
walisema, ‘hayawi, yamekuwa
mimi na wewe
ndio forever
aya
[chorus]
forever
forever
forever
ndio forever
forever
forever
forever
ndio forever

[outro]
oh, ah
oh, woah
ooh, na~na~na~na
ooh, na~na~na~na
forever mi nawe
forever
ndio forever, ha~ha

ka mix lizer


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...