lirik lagu jay mbote - dear loard
intro
nina kila sababu ya kukupa maua yako
ingekuwa adhabu isingenipa nilichonacho
mdogo, mbuya na jeje yote kw~ngu hayo macho
wanayatumbua wakijiuliza kifatacho
verse 1
maana kila nachokinyanyua kinabaki chini
mpaka nawavua imani wasiniamini
mama kashauza viwanja pesa ananipa mimi
naisoma namba na namba haijacholeka chini
nikajaribu biashara haikuzaa matunda
nikaonekana fala, familia ikaniona kama zoba
maneno mengi jalala nikitupiwa navunga
nikaitwa chawa, kiherehere, bado nikabunda
sasa nani aniokoe kwenye haya majanga
gizani nilipotokea siuoni mw~nga
sidhani kuna mwingine zaidi ya baba
niko chini nasubiria wako msaada
chorus
dear lord, dear lord, nishike mkono
maadui kibao wananiwinda bila sababu
wananiwinda mimi nasijui kwanini
wewe unajua vitu vingapi unanilinda
unajua ni muda gani umenipangia
unajua hata maneno wanapoongea
bado nawapotezea maana najua unajua
wapi mimi nimetoka, unajua
uchawi wanaotumia, unajua
mpaka ndugu zangu nawatilia shaka
wananitazama magumu ninayopitia
verse 2
ilizidi kuwa ngumu hali ya maisha
nilijitahidi majuk~mu yakawa mazito
nililazimika kusimama kipindi dingi hayupo
mama hana shilingi, hana kazi, hazipo
nikahitajika nipande basi nije mjini kwa mjomba
nikahisi hii nafasi itanifanya nisogee mbele
k~mbe undugu ni udhaifu, kila mtu kivyake
nikahisi nimepata daraja la kunivusha mbele
nilipofika nikajitoa, mama aliniambia naye
vizuri kutaabika ili upate chako mwenyewe
sikujua urithi hauko kwa mjomba, hakuniambia nielewe
muda ulipofika ukweli ulijieleza wenyewe
sasa nani aniokoe kwenye haya majanga
gizani nilipotokea siuoni mw~nga
sidhani kuna mwingine zaidi ya baba
niko chini nasubiria wako msaada
chorus
dear lord, dear lord, nishike mkono
maadui kibao wananiwinda bila sababu
wananiwinda mimi nasijui kwanini
wewe unajua vitu vingapi unanilinda
unajua ni muda gani umenipangia
unajua hata maneno wanapoongea
bado nawapotezea maana najua unajua
wapi mimi nimetoka, unajua
uchawi wanaotumia, unajua
mpaka ndugu zangu nawatilia shaka
wananitazama magumu ninayopitia
outro
niko chini lakini bado ninasimama
kwa sababu wewe unajua safari yangu
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu odelia - screen
- lirik lagu bloodshot - room 666
- lirik lagu lola novaković - niko od vas
- lirik lagu 03 greedo - directions
- lirik lagu the swift - rain down
- lirik lagu césar menotti e fabiano - tá com raiva de mim (ao vivo)
- lirik lagu n4txhan! - new years mayhem
- lirik lagu snlow - senden asla vazgeçmem
- lirik lagu daygrols - сумки (bags)
- lirik lagu real eye$ - bosan