lirik lagu jay c yrn - najua
[intro]
yeah yeah yeah yeah
yeah yeaaah
(lizen)
[chorus]
najua unanipenda (mama mama)
natena hutonitenda baby (mmh mmh)
unajua nakupenda (mmh mmh mmh)
natena nimekwama, kwako najua baby
akili yangu yote ipo kwako
nitaugua baby kama ukichange wazo lako (yeah)
[verse 1]
my sweet, my lover, my dear
moyoni kw~ngu we ushaingia, mapenzi unayonipa nitatulia
nakutuliza never hutolia
nikikosa nitakuomba samahani, nishindwe kushuka mimi ni nani
upate furaha isiyo na kifani, usimpe chance shetani (yeah)
nataka tuishi wote siku zote
ninyonye damu yangu kama kupe
nataka tuishi wote siku zote we unanifaa (yeah)
[chorus]
najua unanipenda (mama mama)
natena hutonitenda baby (mmh mmh)
unajua nakupenda (mmh mmh mmh)
natena nimekwama, kwako najua baby
akili yangu yote ipo kwako
nitaugua baby kama ukichange wazo lako (yeah)
[verse 2]
umenikama umenivuruga hadi sitamani mwingine tena
kwenye kichupa umeniweka, umenifungia sitoki tena
we ndio mamy looh, we ndio mamy looh
majirani macho yao kwetu kodoo
kwako mi koloo kwa mi koloo, nipo tayari kula hata kipolo (yeah)
maumivu ya mapenzi sisikii tena mimi
maumivu ya mapenzi sitaki tena mimi (yeah)
[chorus]
najua unanipenda (mama mama)
natena hutonitenda baby (mmh mmh)
unajua nakupenda (mmh mmh mmh)
natena nimekwama, kwako najua baby
akili yangu yote ipo kwako
nitaugua baby kama ukichange wazo lako (yeah)
[outro]
umenikama umenivuruga hadi sitamani wengine tena
kwenye kichupa umeniweka, umenifungia sitoki tena
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu pink fly - happy
- lirik lagu mitch keller - 7 leben
- lirik lagu pawbeats - samotność
- lirik lagu uday biswas - smash this flower
- lirik lagu jé santiago feat. celo1st - gengar
- lirik lagu rain the nin - s o u l
- lirik lagu lil a$af - 16 l'mic check
- lirik lagu carsie blanton - party at the end of the world
- lirik lagu kid kern - gemini
- lirik lagu mc rasmi - utopias