lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu jambo squad - tai chi

Loading...

[intro]
mmm, tai chi
mmm, tai chi
[?] on the beat

[chorus: ordinary & both]
kamekuja ghetto nikafunze tai chi
mmm, tai chi
kamekuja ghetto nikafunze tai chi
mmm, tai chi
ooh, ha!
ooh, ha!
mmm, tai chi
ooh, ha!
ooh, ha!
mmm, tai chi

[verse 1: ordinary]
nmeeka bando leo nachokoza, chokoza mademu
wazungu wapo leo nachokoza, chokoza ki [?]
meseji moja natuma kwa watu k~mi
najifanya tajiri na sina sumni
mara mmoja kanasa kaniomba ten
moyo ukadunda kama nimepigwa ngumi
nikavunga, akanicheki na vikopa, kopa
huku nawaza man fe kweli nitamkopa
akaongeza “love” halafu akatuma na picha
yuko tupu halafu sura yake kaificha
nikauliza unapenda kazi gani?
kajibu, “gym”
mweh!
[chorus: ordinary & both]
kamekuja ghetto nikafunze tai chi
mmm, tai chi
kamekuja ghetto nikafunze tai chi
mmm, tai chi
ooh, ha!
ooh, ha!
mmm, tai chi
ooh, ha!
ooh, ha!
mmm, tai chi

[verse 2: n~gga c]
ayo, picha linaanza kwanza mi ndio jet~li
…eh, kwanza mi ndio jet~li
ghetto nakupa zile za ki~bruce lee
…eh, zile za ki bruce~lee, ‘za ki brandon lee, shanon lee
za ki kompayero, n~gga chali
hayo mazoezi niyak~mpinda mgongo tu
hayo mazoezi niyak~mweka miguu juu
yanaitwa “love kung~fu”
yanatoa homa na flu
nimekafundisha kupiga tikitaka
hapo ‘ndipo sasa kanadata
mpaka kanataka kunibaka
ha, kamepandisha mizuka
[chorus: ordinary & both]
kamekuja ghetto nikafunze tai chi
mmm, tai chi
kamekuja ghetto nikafunze tai chi
mmm, tai chi
ooh, ha!
ooh, ha!
mmm, tai chi
ooh, ha!
ooh, ha!
mmm, tai chi

[verse 3: bam]
ghetto ni ma~sommersault
mixer ma sarakasi
demu ana black belt
nimempania kama muasi
sauti kinanda, ananigeuza sunil shetty na’
anavyo idanda ka gari imekosa breki
somo la leo, tunaanza na kata
hili sakata la k~mfunga mpaka ngata
aina kunata, ni kutembea kama bata
hizi push~up, kichura, chura, ‘utadata
leo, upepo utaita, “ufefo”
[drop]
…eh, tutaelewana uje na kesho
usikimbie tizi huku ndio shaolin temple
[chorus: ordinary & both]
kamekuja ghetto nikafunze tai chi
mmm, tai chi
kamekuja ghetto nikafunze tai chi
mmm, tai chi
ooh, ha!
ooh, ha!
mmm, tai chi
ooh, ha!
ooh, ha!
mmm, tai chi
(instrumentals)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...