lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu jambo squad - mamong'oo

Loading...

[intro]
(?) n~gga c
(?) ordinary
(?) bam

[chorus]
mamong’oo
ma njere, machali ya r, ah (ah)
mamong’oo
ma njere, machali ya r
tukiwa tumepiga [tranya]
eh, raiyo ‘na ngenyera
tukiwa tumepiga [tranya]
eh, raiyo ‘na sendeu
ah, mamong’oo
ma njere, machali ya r, ah (ah)
mamong’oo
ma njere, machali ya r, ah
tukiwa tumepiga [tranya]
eh, raiyo ‘na rubega
tukiwa tumepiga [tranya] (uh~huh, huh)
eh, raiyo ‘na migorori

[verse 1: ordinary]
(?) sieki ma njere
(?) ngo emieki ma njere
na bado sio ma~reh
wanautajiri wa ngombe, kondoo na mbuzi~meeh (huh)
mi mong’oo, naruka kimo cha mn~z~
nadumisha mila wala siogopagi shazi (yiihuu!)
rubega bila bukta, underwear haina daz
upepo ukipita zakaria zote wazi (?)
mi siwazi ‘maduanzi
arusha makazi, bomani malazi, rubega ndio mavazi
mong’oo anakula nyama ‘moo, halagi mandazi (ha~ha)
chini ya mti ‘mkutano mtu shazi
unapigwa sabini kama umeleta uduanzi (ah)
kileleni si tunapanda viazi
hatakama nipo mjini, rungu yangu sipotezi
(?)
rungu yangu sipotezi
[chorus]
mamong’oo
ma njere, machali ya r, ah (ah)
mamong’oo
ma njere, machali ya r
tukiwa tumepiga [tranya]
eh, raiyo ‘na ngenyera
tukiwa tumepiga [tranya]
eh, raiyo ‘na sendeu
ah, mamong’oo
ma njere, machali ya r, ah (ah)
mamong’oo
ma njere, machali ya r, ah
tukiwa tumepiga [tranya]
eh, raiyo ‘na rubega
tukiwa tumepiga [tranya] (uh, uh, uh)
eh, raiyo ‘na migorori

[verse 2: n~gga c]
mamong’oo ‘watoto wa mama yeyo
sisi ni, mamong’oo, ‘wajukuu wa bibi koko
tuko ololo ‘matejoo (?) ngalelo (uh~huh)
tukiwa tumepiga zetu tranya, raiyo
hatunywi chai ni loshoro
ukitupa “hi”, i say “takwenya, yeroo”
fulu, fululu mpaka mbulu
fulu mpaka mbulu kwa mama lulu (shee!)
ni mori (shee!)
haina worry (shee!)
wanasemaga ni ‘tamu ka mtori (shee!, shee!)
peace no shari (aaah)
ma njere ‘tumepiga migorori
tuna morari
vipururu ‘hatuna ma shawty
uh
sisi ndio simba wa pori
ngarenaro kati, ‘pointi kila ubeti
mori zikitupanda ‘paa kama parachuti
[sidai, tukulushie babulai]
ukituambia “how are you?”, si twajibu “supai”
ah
[chorus]
mamong’oo
ma njere, machali ya r, ah (ah)
mamong’oo
ma njere, machali ya r
tukiwa tumepiga [tranya]
eh, raiyo ‘na ngenyera
tukiwa tumepiga [tranya]
eh, raiyo ‘na sendeu
ah, mamong’oo
ma njere, machali ya r, ah (ah)
mamong’oo
ma njere, machali ya r, ah
tukiwa tumepiga [tranya]
eh, raiyo ‘na rubega
tukiwa tumepiga [tranya]
(uh, uh, jambo squad)
eh, raiyo ‘na migorori

[verse 3: bam & ordinary]
(?) ni arusha town
(?) ndipo utapo tupata
ma ndito na ma morani (ha!)
hakuna matata
tunawaza kusakata
(?) chata
hapa (?) mix na wajukuu wa ndesa
umenipata (?) ki~hustler
(?) wakisusa (?) mamong’oo hatunaga ubishoo
ah, (?) tena mwenyewe uta blow
chipichipi mkononi, dizaini ya laiboni
rubega imetupwa begani, na sime kwa (?) kiunoni
(?) tambua lomayani na sirini ‘mabomani
tunakula ngombe mzima ndio sheria ya ngaramtoni
halafu tunalala wima, na kuoga ni mtoni
mama yeyo shambani ‘na mtoto mgongoni
morani barabarani (yeah)
na ugoro mdomoni
ukikuta mshale mlangoni, usiingie ndani
ndio nyumbani kwetu (?)
(ndio nyumbani kwetu ?)
hatuna utani, ma morani (yeah)
na mamong’oo (uh)
tunakula majani mpaka shetani anashindwa kulaani (uh)
mpaka shetani anashindwa kulaani
[chorus]
mamong’oo
ma njere, machali ya r, ah (ah)
mamong’oo
ma njere, machali ya r
tukiwa tumepiga [tranya]
eh, raiyo ‘na ngenyera
tukiwa tumepiga [tranya]
eh, raiyo ‘na sendeu
ah, mamong’oo
ma njere, machali ya r, ah (ah)
mamong’oo
ma njere, machali ya r, ah
tukiwa tumepiga [tranya]
eh, raiyo ‘na rubega
tukiwa tumepiga [tranya]
eh, raiyo ‘na migorori

[outro: ordinary]
[drop]
aisee, tukulu dx
shaa! mkate inameza chai?
silipi, yeroo silipi

(instrumentals)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...