lirik lagu jambo squad - mama vanessa
[intro]
noiz arachuga, he~he
(enhee, eh)
(? touches on the beat)
(enhee, eh)
[chorus]
kinda la mama vanessa
limeruka boma
(enhee, eh)
kinda la mama vanessa
limeruka boma
(enhee, eh)
kinda la mama vanessa
limeruka boma
(enhee, eh)
kinda la mama vanessa
limeruka boma
(enhee, eh)
[verse 1: ordinary]
mama vanessa
(enhee)
mama vanessa
(enhee)
nataka kwanza mi nitoe lock (mweh!)
nataka kwanza mi nitoe lock (ah, ah)
magongo (leta)
banana (leta)
mambege (leta)
ma ‘nyagi (leta)
ma moshi (leta)
ma veve (leta)
(yeleuwi)
natoa mawenge nimuone vanessa, weh (mweh!)
natoa mawenge nimuone vanessa (aisee)
[verse 2: bam]
kameng’aa ka msupa
nipo kaunta mi nakula mizuka (enhee, eh)
mara kiti kavuta
nikajua ni mimi, k~mbe waiter anamuita (enhee, eh)
sijaamini alivyo amka
mwendo wake dah [?] amevuta (enhee, eh)
subira ngumu kuvuta
hivi dada jina gani wanakuita? (enhee, enhee)
j~po dakika njoo tu~chill, chill
[?] hata namba ya kitili, lili (enhee, eh)
kunywa ongeza yaani mbili, mbili
we ni mkali, unawasha kama pilipili (enhee, eh)
nimepata naona mbili, mbili
mtoto [?] niazime hicho kiwiliwili (enhee, eh)
[?] cheza cha makirikiri
ainaga mbili, nipe moja ‘tutafanya siri
[chorus]
kinda la mama vanessa
limeruka boma
(enhee, eh)
kinda la mama vanessa
limeruka boma
(enhee, eh)
kinda la mama vanessa
limeruka boma
(enhee, eh)
kinda la mama vanessa
limeruka boma
(enhee, eh)
[verse 3: n~gga c]
vanessa ni bonge la moms
na nyuma ana bonge la bumps
kwa fasi na mlia kasi, ‘na
baada ya nyasi, mikasi
mwendo ni singida, dodoma
kifua kichuguu sio mlima (weh)
nadata mchicha akichuma
kichwa kidogo kinasimama
aih, vanessa (aya)
vanessa (ayaya)
weh, vanessa
vanessa
unanipapasa
(ukiichomeka)
unanipapasa
(nakuchomekea)
eh, ukinitomasa
(ukiipekecha)
unanipa hamasa
(nakupekechea)
[chorus]
kinda la mama vanessa
limeruka boma
(enhee, eh)
kinda la mama vanessa
limeruka boma
(enhee, eh)
kinda la mama vanessa
limeruka boma
(enhee, eh)
kinda la mama vanessa
limeruka boma
(enhee, eh)
[outro]
enhee, eh
(its touches on the mix)
enhee, eh
enhee, eh
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu mc suicidio - vou me suicidar
- lirik lagu dama (bel) - damagust
- lirik lagu vvherearewe - solar
- lirik lagu 7th sun - get together
- lirik lagu knox hill - survivor's guilt
- lirik lagu hugo wolf - karwoche
- lirik lagu kira & asteroid - fake heart
- lirik lagu nitronoise - censorshit
- lirik lagu kozzyy! - лучший (best)
- lirik lagu live my last - never be the same