lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu j93 - michuzi

Loading...

randu boy

verse 1(j93 )

yeah aaah yeah

toka kiwalani sio mtoto wa kigogo

naishi mzizima j~po mtoto wa kigogo

maisha poa, ila sio mtoto wa kigogo

navyowasumbua kama twitter na kigogo

it’s all about some money

sifanyi for fun

familia inataka msomi mezani

mama anasema niongeze mjengo nyumbani

babe anasema go harder get some money

so
kila chocho kila site kila pango ,me siwazi fasta naingia

iwe halali au haramu ya magendo ,siachi kuif~kuzia

sometimes me silali kama popo, kuhakiki pesa inaingia

serious ukileta miyeyusho, fasta chini ninakuf~kia

i got bills to pay

i never come to play

vitu vyangu k~maliza pesa yangu ni pay

me nalipwa kwa maneno i don’t randomly say

nachotaka ni michuzi on my mind all day

chorus (j93 & mazegele boy)

nachotaka ni michuzi (nachotaka ni michuzi nachotaka ni michuzi)

so nachotaka ni michuzi (nachotaka ni michuzi nachotaka ni michuzi)

so nachotaka ni michuzi (nachotaka ni michuzi nachotaka ni michuzi)
nachotaka ni michuzi(nachotaka ni michuzi) mazegeleee

verse 2(mazеgele boy)

nachotaka ni michuzi

weka pеsa sijivungi

kwenye vita ya mapene tunatoka misituni

haina maana pamba kali kwenye pochi ni sifuri

tukipanda kwenye meza panda kwenye visituli

ukianza kwenye flow sura mpaka roho safi

muziki umebadili maisha sasa hivi mambo safi

wanangu siwapi buku buku natembeza kaki

mungu baba ndio muamuzi na ameshaita kati

mwenzenu nikiona beat mithili ya tai kaona mzoga

pesa haitaki waoga
pesa isije kufanya ufanye mapenzi ya jinsia moja

money power si ndio slogan

nimeamua kuzisaka kwa jasho langu me sitaki kuomba

chorus (j93 & mazegele boy)

nachotaka ni michuzi (nachotaka ni michuzi nachotaka ni michuzi)

so nachotaka ni michuzi (nachotaka ni michuzi nachotaka ni michuzi)

so nachotaka ni michuzi (nachotaka ni michuzi nachotaka ni michuzi)

nachotaka ni michuzi(nachotaka ni michuzi)

(woh chapati za kutosha….)

outro

j93 na mazegele boy

j93 heeeey na mazegele boy

tunachotaka ni michuzi ni michuzi

tunachotaka ni michuzi ni michuzi

randu anachotaka ni michuzi anachotaka ni michuzi

oya tukishapata michuzi tunafanya makamuzi

tornado vibe….


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...