lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu j 93 - tukeshe

Loading...

hey baby nipo nyumbani now
me najua umemis vitu vingi now
me najua umemis navyopiga bao
potezea digidigi we ndio mama lao
nimeleta na zawadi you got scream wow
vitu flani hivi vyekundu zao baobab
pendezesha huo ulimi radha ya limao
tupo uwanjani leo si ndio chama lao
niandalie mihogo flani hivi mixer na karanga
vaa under wear white juu laini kanga
nione vitu vyako ndani niiweke nanga
nitegetege baby leo tulicheze vanga

chorus (bravo the son)
nimek~mic unajua
mawazo mwenzako yataniua
kuja mageto ma baby leo jiko ni lako utapika pakua
kisha tukeshee tukimake love
leo tukeshe tukimake love
kisha tukeshe tukimake love
leo tukeshe tukimake love
coz i love you

verse 2
come baby come baby nipo kitandani
oh my god oh my god chuchu kifuani
zinafanya hisia zinakwenda mnarani
hikeshe tukimake love
coz i love youo mechi yake leo mh its more than fan
njoo kwanza juu baby anza kukalisha
huku uno taratibu unalizungusha
nisikie hyo miguno huwa inanogesha
kama unalia donda unalitonesha
bend , fanya kama unachuma mboga zenji
boga nilione kwa karibu lens
ukichoka kufa kama mende ndezi
hakuna kulala leo its more than crazy
chorus (bravo the son)
nimek~mic unajua
mawazo mwenzako yataniua
kuja mageto ma baby leo jiko ni lako utapika pakua
kisha tukeshee tukimake love
leo tukeshe tukimake love
kisha tukeshe tukimake love
leo tukeshe tukimake love
coz i love you

bridge
baby you are music
hizo melody ni so
unanionesha ujuzi tukiwa kwenye ma show
i dont get prove it
coz you already know
come lets make a movie
then i’m play my role
kisha tukesheeeeee
leo tukesheeeeeee
kisha tukesheeeeee
leo tukesheeeeeee
coz i love you


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...