lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu iyanii - tamu

Loading...

kwa majina ni iyanii
tunakujua

ooh
ooh

waka waka

nakula maisha na adabu na enjoy na wenzangu
hapa tu ni burudani hakuna kuenda nyumbani

nakula maisha na adabu na enjoy na wenzangu
hapa tu ni burudani hakuna kuenda nyumbani

ayaa
naskia fiti (tamuu)
raha utamu (tamuu)
naskia poa (tamuu)
raha utamu (tamuu)

aaaah
leo kwa simu sipatikani
siendi nyumbani (aaaaaah)
aaaah
niko mteja sipatikani
siendi nyumbani (aaaaah)
naskia fiti (tamuu)
raha utamu (tamuu)
naskia poa (tamuu)
raha utamu

[verse ]
i don’t want no stress
just happiness
enjoy life to the fullest
with no regrets

i don’t want no stress
just happiness
enjoy life to the fullest
with no regrets

ayayayaya
forever young
i wanna be forever young
vile maisha ya ujana
na mbogi yangu tukipatana

[chorus]
ayaa
naskia fiti (tamuu)
raha utamu (tamuu)
naskia poa (tamuu)
raha utamu (tamuu)
aaaah
leo kwa simu sipatikani (sipatikani)
siendi nyumbani (aaaaaah)
aaaah
niko mteja sipatikani (sipatikani)
siendi nyumbani (aaaaah)

naskia fiti (tamuu)
raha utamu (tamuu)
naskia poa (tamuu)
raha utamu (tamuu)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...