lirik lagu israel mbonyi - nina siri
nina siri naye yesu yanifanya niwe jasiri
kwa amani nayo dhiki yanifanya niwe jasiri
yaniburudisha nikirukaruka hossana amen
yaniburudisha nikirukaruka niki imba hossana amen
(nina siri naye yesu yanifanya niwe jasiri

yaniburudisha nikirukaruka niki imba hossana amen)
wambie wanaolia wakiteswa na malimwengu;
waonjeni neema yake na rehema yake mwokozi
watafunguliwa, watawekwa huru wakiimba hossana amen

Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu mukay - galionsfigur
- lirik lagu jody kofu - house boat
- lirik lagu kyle & teezo touchdown - somethin bout u
- lirik lagu the new minstrels - tayo'y umawit at magdiwang
- lirik lagu flowz dilione - succeed
- lirik lagu loner deer - behind the pines
- lirik lagu pas band - malam tetaplah malam
- lirik lagu sirene (uk) - turn the tv up
- lirik lagu greatguys (멋진녀석들) - 딥하게 (deep in love) (sped up version)
- lirik lagu sadya (jp) / サドヤ - violetta