lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu isaadmusic - penzi tamu

Loading...

[verse 1]
oh mami, ukinipenda
nadeka ka mtoto
kununiana maruf~ku
kuumizana, no no

kwingine sitoenda
amejaliwa huyu
una tabia za kizungu
kazuri kama nono
nono

[pre~chorus]
au labda ni maneno
ya watu wanaropoka
au zile skendo
ndio unanikataa

eti kisa una malengo
ndio maana unaogopa
mimi sina neno
ila utashangaa

[chorus]
namna nitakupenda
namna nitakujali
ujue mapenzi matamu balaa
iye iye
wala sitakutenda
mpenzi, nitakujali
ujue mapenzi matamu balaa
iye iyee
[verse 2]
nishakutana wengi sana
wote wakanidanganya
moyo w~ngu wakaupasua
yani wakaugawanya

na mi siwezi, siwezi
mapenzi ya ugomvi, mimi siwezi
yani siwezi
yani siwezi

[pre~chorus]
au labda ni maneno
ujue watu wanaropoka
au zile skendo
ndio unanikataa

eti kisa una malengo
ndio maana unaogopa
mimi sina neno
ila utashangaa

[chorus]
namna nitakupenda
namna nitakujali
ujue mapenzi matamu balaa
iye iye
wala sitakutenda
mpenzi, nitakujali
ujue mapеnzi matamu balaa
iye iyee
[outro]
nimejawa upendo
kw~ngu hio ndio mali
nitakupa kidogo
mpеnzi, hilo usijali


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...