lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu isaadmusic - nakuwazaga

Loading...

ukaribu mi na we
masiara yetu yaligeuka utani
kuwa nawe daily
ndio kitu niliwazaga
na imani tele
imenijaa ndani
kwamba sina mpinzani
kuwa nami wewe
ndio kitu hukutaga

aah, eeh, iiih
ooh, uuh
aah, eeh, iiih
ooh, uuh

ujue nakuzawaga
bado nakuwazaga
bado natakaga
wewe

sinaga na mbadala
sita mie ndio saba
wewe ndio nakutaka
wewe

nakuzingatia wewe
sina nia na wengine
nakutazamia we
aah, eeh, iiih
ooh, uuh
aah, eeh, iiih
ooh, uuh

nakuzingatia wewe
sina nia na wengine
nakutazamia we
bado nakuwazaga


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...