lirik lagu ibrah nation - naamini
oyeye yaaah ayaah
mmmh yei yei eeeh aaah yeiyeyeye
baby pamoja na yote niliokupa pia nilikupa moyo w~ngu ili ukae nao
ooh leo upendo unanifanya nalia machozi
ya furaha mboni yangu imeshindwa kutazama.
(pendo langu umelizima ka mshumaa
umenidharau umeninyima hata heshima)
kama wamekwambia me nakuzingua amini na siku moja ukweli utaujua
hutofurahia penzi bandia na kweli lipo kw~ngu na we hujaridhiaaa aaah
bado naamini (mi naamini)ntakua na wewe (mi
naamini) j~po uthamini (mi naamini)ila chaguo langu ni wew
bado naamini(mi naamini) ntakua na wew(mi naamini) j~po uthamini(mi
naamini) ila ntakua na wew kua na
wee aaah aaah aaah mmmh yeyeyeeeh mmh
kama ni kosa mi kukupenda wewe semaga unanichukia aaah marafiki
wanasemaga halifichiki pendo mamio nikikuona
mwenzio najawa na furaha nakufikiria sana waah
(pendo langu umelizima ka mshumaa
umenidharau umeninyima hata heshima)
kama wamekwambia mi nakuzingua amini na siku moja ukweli utaujua
hutofurahia penzi bandia na kweli nipo kw~ngu na we hujaridhiaa aah
bado naamini (mi naamini) ntakua na wew mi
naamini) j~po uthamini (mi naamini)ila chaguo langu ni wee
bado naamini (mi naamini) ntakua na wew(mi naamini) j~po uthamini (mi
nnaamini) ila ntakua na wewee kua na
weee eiyeiyee aah love you babeee aah
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu gray thomas - the genie
- lirik lagu xpresidentx - especismo
- lirik lagu nissy(西島隆弘) - dance dance dance
- lirik lagu оригами (origami) (rus) - эмма (emma)
- lirik lagu kontages - rain it falls
- lirik lagu cnco - el amor de mi vida
- lirik lagu ghostie - inner conflict
- lirik lagu santi novillo - partir
- lirik lagu mr rizzus - 1, 2, 3, 4
- lirik lagu nissy(西島隆弘) - 花cherie (hana cherie)