lirik lagu ibraah - mapenzi
no aah, aah
(mr. saimon)
aya aah aah eeh eh eh
amini unaempenda, naye ana wake anayaempenda pia
na siku zinakwenda aah aah
na hata yule anayempenda, naye ana wake anayemwita dear
haya mapenzi mwana kwenda aah
na ni yaleyale mapenzi
yalotesa mabibi na mababu hadi leo
mie mwenzenu siyawezi
ni bora uyashuhudie kwa mwenzio, ama kwa video
usione mtu ~n~liaga, ukadhani ni utoto
mapenzi yana vingi vituko, nyingi changamoto ona
ukimpata anayekuthamini
mnatulia na utunze yake heshima
ujue ndo kashazama kwa kina wewe
ah eeh vipo vya kuvumilia
lakini sio mapenzi, mapenzi yanaumiza
mi ndio maana siyawezi
vipo vya kuvumilia
lakini sio mapenzi, mapenzi yanaumiza
mi ndio maana siyawezi
aah we penda unapopenda, unapoamini
kwamba amani ya moyo wako ipo
na ukikosa unachopenda, utapagawa bure
hata ufanye matambiko
hata ukipenda kweli, hauwezi jua sababu ni siri ya moyo wako
hata kama akifeli, atapuuzia ili uteseke tu peke yako
ngoswe kitovu cha uzembe, ukipenda huoni
na anayempenda hajui, hatambui kama ye ndo ako mbooni
hata akisema amechoka, anataka muachane
we zidi k~mpenda tu hivyo hivyo
maana mapenzi hayana mwenyewe aah
unaweza ukaondoka, ukaenda kupenda pengine
napo ukakuta ndivyo sivyo, ukajihisi una mkosi wewe aah
ukimpata anayekuthamini mnatulia na utunze yake heshima
ujue ndo ukashazama kwa kina wewe
ah eh vipo vya kuvumilia, lakini sio mapenzi
mapenzi yanaumiza, mi ndio maana siyawezi
vipo vya kuvumilia, lakini sio mapenzi aah eh
mapenzi yanaumiza aah, (mi ndio maana siyawezi)
ibraah, konde music worldwide
this is saimon, uuh
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu foqus - zeit
- lirik lagu zerrty bluee - hehehe (feat. yungkyoz)
- lirik lagu henri dès - mon ami le poisson
- lirik lagu bigantdog (raps) - perfect cell / pc*
- lirik lagu the high llamas - rollin'
- lirik lagu qvkata dlg - sunovidenie
- lirik lagu keleketla! & coldcut - crystallise
- lirik lagu amarafleur - dontletgo
- lirik lagu mino xae - pakwaman
- lirik lagu nickelodeon, the loud house - what everybody wants