lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu ibraah - copy & paste

Loading...

[intro]
kamaaa
gilly twende
shout out to my crew
tuko gang gang
konde gang gang
oya weee oya
shout out to my baby

[verse 1]
picha linaanza kama ndoto
najiona kama ndiyo nimezaliwa
nilicho gundua dunia ni utoto
nilipo gundua mi maiti mtarajiwa
dunia inatisha wakati wewe unapambana kusali
kuna w~nga wanakuombea ufeli
riziki ndiyo kisa
wanakabana, wanayongana
wambie kama life boti haachwi mtu feli

[pre~chorus]
wanangu mtaji pumzi, si unapumua
(tunapumua mwanetu)
struggle za life, we si unajua
(tun~z~jua mwanetu)
wanangu wa temeke waliimba “kamua”
life si unajua, unajua
(ni kukamua mwanetu)
[chorus]
life ni ku~run run, shida za kitaani taani (oya)
kwani asizijue ni nani
iwe nyeusi ama kijani, kwenye riziki hakuna utani
kama geto tunafua (ni kukamua mwanetu)
ni ku~copy na ku~paste
ghafla maisha yamekuwa mepesi
mchizi wa bongo
ana copy, ana paste
oya wee, oya oya
oya, wana ni copy na ku~paste
ghafla maisha yamekuwa mepesi
mchizi wa bongo
ana copy, ana paste
oya wee, oya oya

[verse 2]
gilbert, mchizi wa tandale
alikuwa anauza mihogo koko, siku hizi anaishi madalе (amejipata)
fata ndoto zako, usifate za wale watakupotеza
ngumi ya kichwa chapa kalale (ni utata)
pakanja pakanja, refarii na kiranja
sister duu kala modo, brother men kapaka wanja
vunga ukitukuta viwanja jicho jekundu (yebaaaa, oya wee)
j~po hatujakula ganja
[pre~chorus]
wanangu mtaji pumzi, si unapumua
(tunapumua mwanetu)
struggle za life, we si unajua
(tun~z~jua mwanetu)
wanangu wa temeke waliimba “kamua”
life si unajua, unajua
(ni kukamua mwanetu)

[chorus]
life ni ku~run run, shida za kitaani taani (oya)
kwani asizijue ni nani
iwe nyeusi ama kijani, kwenye riziki hakuna utani
kama geto tunafua (ni kukamua mwanetu)
ni ku~copy na ku~paste
ghafla maisha yamekuwa mepesi
mchizi wa bongo
ana copy, ana paste
oya wee, oya oya
oya, wana ni copy na ku~paste
ghafla maisha yamekuwa mepesi
mchizi wa bongo
ana copy, ana paste
oya wee, oya oya


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...