lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu i will x the renaissance man - state of affairs

Loading...

[verse 1: i will]
i will skiza
sasa ona, tuko lockdown juu ya corona
mbona, hatuwezi chill tu kwa keja
oya, nimeshachoka na sofa
ni kunoma, itabidi joh tumeomba
remember, mkifundishwa kunawa
enda, ukajishikie sanitizer
blender, weka ndimu na kahawa
surrender, hizo face mask umeweka
death toll imekuwa cash flow
gava iko wishy~washy kama see~saw
xo
mbona, hatuwezi ku escrow
echo, kila mahali manifesto, yeah
you only live once wanasema
so njooni this once kwa messiah
hakuna haja ya kuona haya
ju ukiwa low utajipata higher

[verse 2: the renaissance man]
it’s the current state of affairs
manze sina hata hamu ya kutoka nje
ndio nipate tu ku grab a full breath of fresh air
sina hata maganji ya ku stock up the fridge
gotta wait for payday; only 8 days left
but it seems like a mile away, ay
nitafanya nini?
heri mimi, i got a roof over my head
heri mimi, i got a fridge in the first place
so the least that i can do is stay home & pray
to nyasaye, to nyasaye
i gotta say
asante to the doctors & the nurses for the way
that they’re sacrificing wakifanya kazi bila pay
giving up the time they could spend with family
just not to see their fellow human race fade away yuh
lakini kuna grey area
wacha niache tu hapo
[chorus: the renaissance man]
it’s the current state of affairs
manze sina hata hamu ya kutoka nje
ndio nipate tu ku grab a full breath of fresh air
sina hata maganji ya ku stock up the fridge


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...