
lirik lagu hotsea - wajua
[intro]
shubi-dubi-doop-doop-doop-dooo
aye
aye (ayeee)!
hotsea
[verse 1]
ningekuwa natafta malaika ningeenda mbinguni kwa dakika
lakini nimejikuta kwa club
madada ni wengi na vile naona ni wee ndo malaika
nasingetaka kudanganya vile ningeweza kupa dunia
dunia ni shida mami hebu tulia
wataka kucheka ama ni kulia
napendanga number one sitaki number two
[chorus]
wee ni mfine na tayari wajua
aaaah…
unashine sana kuliko hata jua
aaaah…
shingo huwa zinaturn kila time ukituwa
aaaah…
we ni mfine na tayari wajua
unashine sana kuliko hata jua
[verse 2]
ngoja ngoja huumiza nini ma?
ka si matumbo basi nini ma?
nikisema nakupenda ma
si eti nina pupa ma
nah!
naweza ngoja hadi kesho
utembee juu ya hizo leso
kama beshte yangu nyangweso
ma sina mcheso
[chorus]
wee ni mfine na tayari wajua
aaaah…
unashine sana kuliko hata jua
aaaah…
shingo huwa zinaturn kila time ukituwa
aaaah…
we ni mfine na tayari wajua
unashine sana kuliko hata jua
[bridge]
shubi-dubi-doop-doop-doop-dooo
aye
aye (ayeee)!
[verse 3]
kwa yangu akili
ukishadunga mini natia bidii
najua kwa nini mi huwa hivi
juu kwa hizi streets hakuna ka mimi
mi ni ule msee anaweza kutpa mbili bila kufeel
natumanga barua bila kuseal
napenda kutoa cd kabla nideal
[chorus]
wee ni mfine na tayari wajua
aaaah…
unashine sana kuliko hata jua
aaaah…
shingo huwa zinaturn kila time ukituwa
aaaah…
we ni mfine na tayari wajua
unashine sana kuliko hata jua
[verse 1 repeat]
ningekuwa natafta malaika ningeenda mbinguni kwa dakika
lakini nimejikuta kwa club
madada ni wengi na vile naona ni wee ndo malaika
nasingetaka kudanganya vile ningeweza kupa dunia
dunia ni shida mami hebu tulia
wataka kucheka ama ni kulia
napendanga number one sitaki number two
[chorus]
wee ni mfine na tayari wajua
aaaah…
unashine sana kuliko hata jua
aaaah…
shingo huwa zinaturn kila time ukituwa
aaaah…
we ni mfine na tayari wajua
unashine sana kuliko hata jua
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu partynextdoor - hurricane
- lirik lagu sepulcro vacío - el circo de la mentira
- lirik lagu the hottman sisters - my war
- lirik lagu ibeyi feat. kamasi washington - deathless
- lirik lagu gordi - something like this
- lirik lagu sharon manyika - munezvose
- lirik lagu iwan - habiby el leila eid
- lirik lagu niall horan - you and me*
- lirik lagu exo - 부메랑 (boomerang)
- lirik lagu jimena baron - estrella fugaz