lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu heri muziki - sweet love

Loading...

mhhhhhhh
hadithi ya pendo nataka nikuelezeee
nataka nikupe pendo nilikoleze eee

sina mwingine wakusema nae
kama ni mapenzi nitabaki naee
hata mkisema mimi nipo nae
sina mwingine wakusema nae
kama penzi nitabaki naee
hata mkisema mimi nipo nae
we ndo ma sweet sweet ma love
penzi la nimesizii mm nmedoro uyeeeee
uuuuyeee
chondechonde mama usicheze na moyo w~ng
mm nimnyonge baby usiumize moyo w~ng ahhhh
sifa gani binti hana
sifa zake za kitwana
kaumbika huyu mama
nafsi yang imemrithia heeeeey
sifa gani binti hana
kaumbika huyu mama
sifa zake za kitwana
nafsi yang imemrithia heeeeey
ww ndo ma sweet sweet sweet ma love (ma love)
kwa penzi lako nimesizi nmedoro nmedoro
ww ndo ma sweet sweet sweet ma love (ma love)
kwa penzi lako nimesizi me nimedoro nmedoro
uuuyeh


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...