lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu heavy cane - addicted

Loading...

you my medicine nanii
you my remedy wewe

tulipatana tiktok
nikamuomba number
sai penzi ni zito
me ndo mwenye kiwanda
tulianza na masikitiko
maisha yakituramba(ramba)
sai kuachana ni mwiko
tushabomoa mwamba uu uu uu

beb i’m addicted to you,, ama umenipa juju
zimeshika nahisi mavitu tu,,umenilewesha you my bubuu
beb i’m addicted to you,,ama umenipa juju
zimenishika nahisi mavitu tu,,umenilewesha you my bubuu

when i look to your eyes, vile nahisi
(kibaridi baridi)
ooh ntafurahi , ukiwa nami iih
(nitakupenda zaidi)

we nanii you my medicine
nanii, apple of my eyes
ooh hunny you my remedy
wewe angel of my life yee yee
nanii you my medicine
nanii, apple of my eyes
oooh hunny you my remedy
wewe angel of my life
beb i’m addicted to you,, ama umenipa juju
zimeshika nahisi mavitu tu,,umenilewesha you my bubuu
beb i’m addicted to you,,ama umenipa juju
zimenishika nahisi mavitu tu,,umenilewesha you my bubuu

Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...