lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu harmonize - x

Loading...

[verse 1]
nani kasema x w~ngu ana enjoy?
nani kasema anapata raha?
hivi nani kasema x w~ngu ana enjoy?
nani kasema anapata raha?
nikimwona ~n~lewa, namuelewa anajiona kachelewa, age go
na bado haj~pewa
viuno alivyopewa, anajiona kachelewa, age go
ohhh… uuhhh… ohhh!

[chorus]
nani kasema x w~ngu ana enjoy?
nani kasema anapata raha?
hivi nani kasema x w~ngu ana enjoy?
nani kasema anapata raha?
never!

[bridge]
vanamahako, twende kwalidu kula nikatamwa, nguyopa chalidu chila
vanamahako, twende kwalidu kula nikatamwa, nguyopa chalidu chila

[verse 2]
(mh) ibiza, miami, mbali haj~pelekwa hata zanzibari
hapo kizimkazi aka enjoy low budget dubai hatoboi
anasikitisha x, kama embe la mti wa porini
anajipitisha x, amekosa wa k~muweka mjini
nikimwona ~n~lewa, namuelewa anajiona kachelewa, age go
na bado haj~pewa
viuno alivyopеwa, anajiona kachelewa, age go
[chorus]
nani kasеma x w~ngu ana enjoy?
nani kasema anapata raha?
hivi nani kasema x w~ngu ana enjoy?
nani kasema anapata raha?
never!

[bridge]
vanamahako, twende kwalidu kula nikatamwa, nguyopa chalidu chila
vanamahako, twende kwalidu kula nikatamwa, nguyopa chalidu chila

[outro]
aaahhh… bomboclaat!
it’s konde boy, call me number one!
bakhresa
ahhhill
konde music worldwide!
eh! sik~mpenda tu, nilimtukuza
nikala bata bila k~mchunguza (babe)
mambo madogo akayakuza
eti kisa upendo akaniburuza

Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...