lirik lagu harmonize - sherehe
(instrumentals)
[intro]
konde boy, call me number one
ba~re~ssah
(s2kizzy, baby)
oh, oh, oh
ah, uu~uu~uuh…
aah~ah, ah, ah…
[verse 1]
ukiwa mvivu
ni rahisi sana kuwa na wivu
tulio jituma ‘tuka achieve
usitushangae tukila mbivu
uliwaza mapenzi, tukawaza pesa
mh’
ona yanavyo kutesa
sie kwetu ni sherehe
oya leo ‘sherehe
[pre~chorus]
we don’t really mind hata tukikesha
liwake hata ikinyesha
leo siku ya sherehe
oya leo ‘sherehe
[chorus]
wanangu huku
(tuna sherehe)
huku
(tuna sherehe)
huku
(huku ni sherehe, eh, eh)
leo huku
(tuna sherehe)
huku
(tuna sherehe)
huku
(huku ni sherehe, eh, eh)
ola~la~la~la
la~la
la~la~la~la~la
la~la
la~la
la~la~la~la
mmm’
[verse 2]
kuhonga kubaya ukiwa huna
ila tulio jipata kwetu ‘sunnah
we jigambe una mkuna, ah
huku ‘walio na meno wanatafuna (bomboclaa~)
mwenye kisu kikali kala nyama leo
kidari kaachwa na jimama leo
kwetu kuna sherehe
oya leo sherehe, oh
mpaka kesho, tumeanza leo
wasio toka, wametoka leo
wameifata sherehe
oya, kwetu kuna sherehe
[hook]
uliwaza mapenzi, tukawaza pesa
mh’
ona yanavyo kutesa
sie kwetu ni sherehe
oya leo ‘sherehe
[pre~chorus]
we don’t really mind hata tukikesha
liwake hata ikinyesha
leo siku ya sherehe
oya leo ‘sherehe
[chorus]
wanangu huku
(tuna sherehe)
huku
(tuna sherehe)
huku
(huku ni sherehe, eh, eh)
leo huku
(tuna sherehe)
huku
(tuna sherehe)
huku
(huku ni sherehe, eh, eh)
[outro]
ola~la~la~la
la~la
la~la~la~la~la
la~la
la~la~la~la
la~la
la~la
la~la~la~la
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu take a mic - dividende
- lirik lagu alena vandaele - lane ain’t no prophet
- lirik lagu el canijo de jerez - la nube que más alto vuela
- lirik lagu xavanium - pull up
- lirik lagu the russell brothers - who's the best...? cbs!!
- lirik lagu babylowsk1 - nobu
- lirik lagu inconscientes - mi desierto
- lirik lagu maggie wuollet - get back to the bass line
- lirik lagu ruby on the nail - c'est qui la plus belle
- lirik lagu kmfdm - help us/save us/take us away (jäger mix)