lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu harmonize - nisha choka

Loading...

kila chenye marefu na mapana
huwaga hakikosi mwisho (ooh mwisho)
yanini kurumbana kukicha bila suluhisho

wenda kisicho ridhiki hakiliki sa ya nini tutoane roho
nimepungukiwa kipi mbona naishi sina ata jiba la roho

na ule utwana wa mapenzi kushindana mi na wewe
niliuvumilia na sijaona tamaa
sio kama siwezi kupata alie zaidi ya wewe
ila hii dunia na najichunga sanaa

tena naandika huu wimbo usijpe moyo labda nakufikiria
nataka iwe fimbo kwenye sura ya choyo ukome kunifatilia
naandika huu wimbo usijipe moyo labda nakuwaza sana
nataka iwe fimbo kwenye sura ya choyo ukome kunilili (eeh)

nishachoka, nishachoka
nishachoka wacha ukweli nikwambie
yani kukicha vijembe (nishachoka)
dharau maneno (nishachoka)
oooh masimango (nishachoka)
wacha ukweli nikwambie
nimechoshwa nawe

kila donda lina historia
badala ya moto majivu
mangapi niliyavumilia
hadi nikakonda kwa wivu

kidogo cha jasho langu ulikidharau
na kukinyanyasa
utu thamani yangu ukasahau kisa anasa
afadhali mimi nimeshakuzoea

dharau mama yangu hajakukosea
huwaga navuta taswira
ule utumwa wa penzi lako
mpaka najiona taira
kuyahifadhi mabaya yako

ukimjinga pedi unamatilapa nikapenda
upepo kwenye begi
au maji ndani ya tenga

tena naandika huu wimbo usijpe moyo labda nakufikiria
nataka iwe fimbo kwenye sura ya choyo ukome kunifatilia
naandika huu wimbo usijipe moyo labda nakuwaza sana
nataka iwe fimbo kwenye sura ya choyo ukome kunilili (eeh)

nishachoka (nimechoka na wewe)
nishachoka (siwezi ooh)
nishachoka wacha ukweli nikwambie (acha nikueleze)
yani kukicha vijembe (nishachoka)
dharau maneno (nishachoka)
oooh masimango (nishachoka)
wacha ukweli nikwambie
nimechoshwa nawe


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...