lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu harmonize - na nusu

Loading...

mwanamke ni mtu na nusu
kukatishwa tamaa usiruhusu
mwanamke ni mtu na nusu
kurudishwa nyuma usiruhusu

na kam mwanaume ndio kichwa
cha familia
basi mwanamke ndio shingo
na kiwiliwili
amani ya mume alie bora
inatengenezwa na mke
anapoianza siku

hata furaha ya mume alie bora
inakamilishwa na mke
ifikapo usiku

si ujinga kukubali matokeo
na sio swala la kupinga
wanatuzidi upeo
ingekuwa hiari yangu mimi
ningewapa kila cheo
muadilifu kama mama yangu
sijamuona mpaka leo
samia suluhu
ni mtu na nusu
mboni mpaye mpango
ni mtu na nusu
mariam mwinyi
ni mtu na nusu
marry majaliwa
ni mtu na nusu
okt tulia
ni mtu na nusu
anne makinda
ni mtu na nusu
bibi titi
ni mtu na nusu
sophia kawawa
ni mtu na nusu
patakucha litazama
hadi ifike kiama
huto muona kama mama mama
mwanamke ni kiumbe jasiri
mama ndie mungu wa pili
ile miezi tisa ni siri
baba asingeweza hata miwili
hata uwe tajiri, tajiri
kamwe huwezi kuwa na mama wawili, wawili
mume ataoa wawili, wawili
mwanamke hawezi kuwa na wawili
fikiri

sio ujinga kukubali matokeo
na sio swala la kupinga
wanatuzidi upeo
ingekuwa hiari yangu mimi
ningewapa kila cheo
muadilifu kama mama konde
sijamuona mpaka leo

maria nyеrere
ni mtu na nusu
bi fatuma karume
ni mtu na nusu
siti mwinyi
ni mtu na nusu
mama anna mkapa
ni mtu na nusu
salma kikwеte
ni mtu na nusu
janet magufuli
ni mtu na nusu
getrude mongelia
ni mtu na nusu
bi mwenda
ni mtu na nusu
bi kidude
ni mtu na nusu
mama khadija kopa
ni mtu na nusu
yaw yaw

kondeboy call me number one
number one
it’s konde music worldwide


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...