lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu harmonize - matatizo

Loading...

haiyee aaah!!
(wasafi records)
olelelelee…

asubuhi imefika,
anga inang’aa
mvua imaanza katika,
ghafla tumbo la njaa
naweka sauti kwa spika,
nipate umbea wa dar
mara simu inaita
jina la anko twaha
akisema, mama yu hoi kitandani
kama si wa leo wa keaho
na kupona sizani
upate j-po neno la mwisho
mi ndo mtoto wa pekee
nyumbani wananitegemea
mdogo w-ngu wa kike
tayari dunia alishaondolewa
tizama jasho langu la mnyonge
kipato hakikidhi mahitaji
napiga moyo konde
yarabi mola ndo mpaji

matatizo. matatizo
yatakeisha lin
matatizo
kila siku mimi
ewe mola.
matatizo yatakwisha lini
j-po likizo
nifurahi na mimi.

mola aliniumba na subira
imani pekee ngao yangu
mbona nishasali sana
ila mambo bado tafalan
mama kanifunza kikabila
nikonde sana haini yangu
tena nijitume sana
na vya watu nisivitamani
hta mpenzi niliyenae
najua siku atanikimbia
itanitesa ye ndo nguzo
zile ngoja kesho badae
atazichoka kuzivumilia
anakosa hata matunzo
ona, nadaiwa kodi nilipopanga
nashinda road nikihanda
nishapiga hodi kwa waganga
kwa kuhisi narogwa
nokauza maji na karanga
nikawa dobi kwa viwanda
ila kote ziro ni majanga
mtindo mmoja

mi ndo mtoto wa pekee
nyumbani wananitegemea
mdogo w-ngu wa kike
tayari dunia alishaondolewa
tizama jasho langu la mnyonge
kipato hakikidhi mahitaji
napiga moyo konde
yarabi mola ndo mpaji


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...