lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu harmonize - mama teacher

Loading...

yaw yaw
jeshii

wapinzani wana hanya
kugombea kiti
wanajadiliana
wamchafue vipi
eti inakuaje mwanamama
anashika kijiti
awajibu mama
ni nguzo iliyosimama fit
ninachojua masela
huko mtaaani kuna dhiki
mama anafungua hela
jitume upate ridhiki
mafumbwa ndika kwadela
ccm hatukupi kiki
upepo haufati bendera
hapapatiki
onanana

mama kazi anaiweza
na ndio maana
me naimba na kucheza
ona inavyo mpendeza
eti kasimama kainuka na kucheza
mama kazi anaiweza
na ndio maana
me naimba na kucheza
ona inavyo mpendeza
eti kainuka kasimama na kucheza

mama teacher
teacher konde
teacher
teacher konde

mama teacher
teacher konde
teacher
teacher konde

mama kazi anaiweza
na ndio maana
me naimba na kucheza
ona inavyo mpendeza
eti kasimama kainuka na kucheza

mama kazi anaiweza
na ndio maana
me naimba na kucheza
ona inavyo mpendeza
eti kainuka kasimama na kucheza
ninachojua masela
huko mtaani kuna dhiki
mama anafungua hela
jitume upate ridhiki
mafumbwa ndika kwadela
ccm hatukupi kiki
upepo haufati bendera
hapapatiki
onanana

mama kazi anaiweza
na ndio maana
me naimba na kucheza
ona inavyo mpendeza
eti kasimama kainuka na kucheza

mama kazi anaiweza
na ndio maana
me naimba na kucheza
ona inavyo mpendeza
eti kainuka kasimama na kucheza

mama teacher
teacher konde
teacher
teacher konde
mama teacher
teacher konde
teacher
teacher konde

nhe
mwaka huu wanakutayonje
anakutayonje
nagakweli
mavantanda mwemama e mmakonde
kabisa
we umemuona mama
mama samia mama
naikakupweteka kalipambilile

teacher
teacher konde
teacher
teacher konde

mama teacher
teacher konde
teacher
teacher konde


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...