lirik lagu harmonize - mama
yeah this one goes to all beautiful mothers in the world
i love you mama
i wanna talk to yah
helo mamaa
leo nmepata kisimu cha kuazimaa
nkaona hata angalau nijue hali yako oo
vipi uposalama
nia na dhumuni nijue kama umzimaa
hadi nmesahau shikamoo heshima yakoo
ingawa bado mambo magumu
bado sijachokaa napambanaa
ulinisihi nakudhurumu
ni makosa kwa rabana
chunga wasikudanganye na picha za mitandao
ukahisi napochoa
ila niombee kila kukicha mi ni mwanao
ipo siku ntantoboa
nliskiaga mjomba isa yule fundi mbao
tayari ameshaoa
ila yote tisa k~mi mwanao
moyoni nna doa la kuwa mbali nawe we
eeeeeeee mamaa i love you
i say i love you mam (aahh mama i love you)
nahangaika ili keshooo nkutunze
mama i love you
i love you i love (aahh mama i love you)
hihihi i love u mom
miezi 9 tumboni kwa mateke mi mtundu ulinbeba
ukajitwesha mgongoni upweke na uchungu ule wa leba
nikisema nikusifie sifa zako siwezi maliza ninacho tamani wе usikie
kwajili yako na bangaizaaa
mama sio mchana sio usiku kukicha nakwenda lesii
ila naamini ipo siku mola atanfanyia wеpesi
chunga wasikudanganye na picha za mitandao ukahisi napochoa
we niombee kila kukicha mi ni mwanao
ipo siku ntantoboa
nliskiaga mjomba isa yule fundi mbao
tayari ameshaoa
ila yote tisa k~mi mwanao
moyoni nna doa la kuwa mbali nawe we
eeeeeeee mamaa i love you
i say i love you mam (aahh mama i love you)
nahangaika ili keshooo nkutunze
mama i love you
i love you i love (aahh mama i love you)
hihihi i love u mom
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu rjldiablo - jailtime
- lirik lagu the palmer squares - one more night
- lirik lagu мейбл (mabl) - старший брат (big brother)
- lirik lagu mdxx - 2no name
- lirik lagu youngvibez, hyper-active - tightrope
- lirik lagu santelmo - años de plomo y fuego
- lirik lagu bt ahzure - what did i do wrong?
- lirik lagu zerøn - me contaron
- lirik lagu khontkar - siktir git (the flash)
- lirik lagu crystal skies & mazare - cruel summer