lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu harmonize - kidedea

Loading...

zombie straight to the neck
yoh…!
yoh..!
s2kizzy baby

muamala unatumwa na ya kutolea
baby akishika simu amekuzoea
akikupa dog she does’nt care
dawa ya moto moto tunachochea

hayawi hayawi yamekuwa eeh kidedea
si alisema namsumbua eeh kidedea
hakajiona keki eeh kidedea
k~mbe ananifollow na akaunti feki eeh kidedea

oliver oliver oliver twist
can you move your body just like this
oliver oliver oliver twist
can you take your body just like this

bingili
bingili
bingili
bingili
bingili…x4
oya
tukututukutu
tukututukutu
tukututukutu…x2

huo muda wa kuroga
si bora ungeoga
pengine utanoga
akukute unachuma mboga
huo muda wa kuroga
si bora ungeoga
pengine utanoga
akukute unachuma mboga

mshike bеga umpendae
akicheza chеza cheza cheza nae
akigalagala gala nae

hayawi hayawi yamekuwa eeh kidedea
si alisema namsumbua eeh kidedea
hakajiona keki eeh kidedea
k~mbe ananifollow na akaunti feki eeh kidedea

oliver oliver oliver twist
can you move your body just like this
oliver oliver oliver twist
can you take your body just like this
bingili
bingili
bingili
bingili
bingili…x4

oya
tukututukutu
tukututukutu
tukututukutu…x2


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...