lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu harmonize - anatekeleza

Loading...

wananiita konde samia
waite waje k~muona samia
anavyotekeleza
waje k~muona samia
anavyotekeleza
leo waje k~muona samia
anavyotekeleza
waje k~muona samia
anavyotekeleza
waite waje k~muona samia
anavyotekeleza
waje k~muona samia
anavyotekeleza

maneno kidogo
kazi zinaongea
anageuka mbogo
kazi ukiichezea
ndani ya mda mdogo
taifa limesogea
wakubwa na wadogo
dua tunamuombea

anatekele
anatekele
anatеkeleza mama
anatekеle
anatekele
anatekeleza mama

anatekele
anatekele
anatekeleza mama

anatekele
anatekele
anatekeleza mama

jamani mama
anatekeleza mama
ilani ya chama
anatekeleza mama
ikulu dodoma
anatekeleza mama

miradi kila kona
anatekeleza mama
ndege si mn~z~ona
anatekeleza mama

waite waje k~muona samia
anavyotekeleza
waje k~muona samia
anavyotekeleza
leo waje k~muona samia
anavyotekeleza
waje k~muona samia
anavyotekeleza
waite waje k~muona samia
anavyotekeleza
waje k~muona samia
anavyotekeleza
msema kweli
sio mshamba
ukipata ruksa kutamba
taifa limepata mwamba
samia mwamba

msema kweli
sio mshamba
na ukipata ruksa kutamba
tanzania tumepata mwamba
samia mwamba

anatekele
anatekele
anatekeleza mama

anatekele
anatekele
anatekeleza mama

anatekele
anatekele
anatekeleza mama

anatekele
anatekele
anatekeleza mama
miradi kila kona
anatekeleza mama
ndege si mn~z~ona
anatekeleza mama

tanzania sio nchi masikini
anatekeleza mama
maji na umeme
hadi vijijini
anatekeleza mama
elimu huduma mahospitalini
anatekeleza mama

anatekele
anatekeleza
anatekeleza mama

anatekele
anatekeleza
anatekeleza mama


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...