lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu harmonize - anajikosha

Loading...

(this one is a banger)
ahaahahaha jeshi, awiii!
(daxo chali)

anajiko, anajikosha
anajikoo, anajikosha
anajiko, anajikosha
anajikoo, anajikosha

jumamosi kakesha ~n~lewa
jumapili kanisani, anajikosha
eti sipendi vya kupewa
bango ~n~lipa shabani, anajikosha

shoga jana nilinoga
na nywele yako umetisha, anajikosha
nimesharudi naoga
jioni nitairudisha, anajikosha

kwanza hata usitume tena
tayari nishazila, anajikosha
hasa baby nitakula nini
zilikuwaga ni hasira, anajikosha

penzi bichi makele bwana
nimehama nipo mbweni, anajikosha
tena huku ni baridi sana
huhitaji hata feni, anajikosha
awii, awaaa
awii, awaaa
awii, awaaa
awii

asa lelele, lelele lelelelee
lelele lelelelee
tuimbe tena, lelele lelelelee
lelele lelelelee

anajiko, anajikosha
anajikoo, anajikosha
anajiko, anajikosha
anajikoo, anajikosha

baby baby umeniweza kwa bedi
simk~mbuki juma wala mohamedi
ila mbona simu yake sasa
hataki nijue password, anajikosha

nitanyoosha chuma
pengine shida mtandao, anajikosha
nikipiga kwa watoa huduma
maelezo ni kibao, anajikosha

mi siwezagi za kucheza cheza
na mshipa ngiri, anajikosha
mara ghafla kaihama meza
anakimbia ya pili, anajikosha
hio ndinga ilikamatwa
nikampa leseni, anajikosha
k~mbe aliena kuvimba tabata
na kademu pembeni, anajikosha

awii, awaaa
awii, awaaa
awii, awaaa
awii

asa lelele, lelele lelelelee
lelele lelelelee
tuimbe tena, lelele lelelelee
lelele lelelelee

anajiko, anajikosha
anajikoo, anajikosha
anajiko, anajikosha
anajikoo, anajikosha

yebo, yebo, yebo


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...